everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Asante sana
Tehe tehee jana mlifungwa ngapi vileee
Aaaaaaahhhhh wapiiiii.....na tutafunga 8-2
Usiniambie!!!....... Nitaghairilisha nimvizie siku nikute maboxer yake machafuuuuuu
Hahahahahahaha!!! Unalo pole ikurudie mwenyewe!!! Jana kichapo kama kawaida Pepe kafanya yake...... Hahahahaha pole mjerumani wewe!!!!!!!!
Mashetani Leo wakipigwa chache ni tatu.
Hahahaha yaan nakuonea huruma sana....msije mkajificha baada ya mechi...maana nawajua vizuri sana. Mkipigwa tu mnasepa kama mmeona nyoka.
GGMU........all the best MANU.
Mambo poa kabisa hofu kwako tu dear.......point tatu ndiyo muhimu kabisa kuliko chochote kile.
GGMU.......all the best Man U.
Halafu weweee
jana tulikua tunamuaga kapten
Chijakubali mimi hahahaaaaa leo ushindi lazma... nipo nachat na Mata amesema leo ata iweje ni 8-2
Wacha mambo yako wewe!!!!!........ Naona unahofu sana jukwaani kwenu mpaka mmepakimbia....... Leo msifikiri mtavizia tena na Welbeck...... Historia Inaweza jirudia 8-2......lol
Chacha leo unataka magoli mangapi? Just name, and will be delivered ...... ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
Nimehofu kusema mimi haha ha
my prediction man utd 2 arsenal 0