Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaaa na wew ni man u? Afu unakiri tutafungwa? Hahahaaa na tukifunga tunakutenga

Kuwa kwangu man u, hakuwezi fanya nisiseme ukweli wa mambo. Tokea mechi iliyopita, Rooney alipoumia, nikajua game ya leo itakuwa kwa Arsenal.
 
Attachments

  • 1431873428555.jpg
    1431873428555.jpg
    30.3 KB · Views: 88
_83052550_a9994989-50d6-4de8-9d5b-f1517975837c.jpg

Hongereni wakuu angalau mwaka huu mna kikombe cha Premier League (Under 21)
 
Man U imekosa strikers wakubadilisha matokeo, sioni matokeo kwa kumtumia Falcao. Kumtegemea Fellain kufunga wakati wapo watu wanaolipwa fedha nyingi kwa kazi hiyo ni patapotea.
 
Man U imekosa strikers wakubadilisha matokeo, sioni matokeo kwa kumtumia Falcao. Kumtegemea Fellain kufunga wakati wapo watu wanaolipwa fedha nyingi kwa kazi hiyo ni patapotea.

Mi mwenyew nakosa matumain falcao angetakiwa awekwe wa dharura...
 
Back
Top Bottom