Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Asante sana wangu....vipi kesho LFC anatoka?...niwatakie her zote, ntakuwa pembeni na kapepsi kangu kabaridiiii nawatazama bila presha yoyote.
Naona "goli la Speron" na penati ya "Msukuke"limekuchangamsha sana dada yangu!
Hongera anyway