Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mmeshinda ila kwa mbiiiinde, hongereni lakini. Upepo unaweza ukasukuma embe mpaka kwenye mkorosho.

Daddddyyyyyyy acha hizo wewe mwaga mwaga pongezi usepe zako......BTW raha saanaaa Barca wamenitendea haki...........valencia anajitahidi kunipasua kwa raha.........
 
Leo wazee wa possessions na hoofing ball to kichwani kwa Tolu mmeuropu.
 
Gemu 17 umeshinda 2 bado mdomo mali yako.Kila msimu tumezoea hiyo CD iliyokwaruzika kwamba mwaka wetu huu. Ndio maana Mourinho akawaita boring miaka 10 hamjachukua premier league lakini kuchonga hamchoki.
 
DonDonald naona unakeshaa Waterloo train station kuandikisha members kila siku. Hahahaha Ngarna CD mpya mziki mpya huu, Mourinho alikuwa anaficha aibu ukweli unajulikana wapo very boring mwenyewe unajua. Subirini mtaona moto wetu tukija mitaa ya kaskazini.
 
Sijui tumepatwa na matatizo gani... timu ilishaanza kukaa sawa

Dah wametukosa .... hii mechi hii mhh

Ama kweli poor performances huwa zinaua confidence za wachezaji na wapenzi wa timu. Baadhi ya posts zenu wakati wa mechi zimethibitisha hili.
 
everlenk angalia walivyokuwa wapo wengi.... ila sisi wala hatuna matatizo nao.. tukifungwa tupo tukishinda tupo ... raha tuu hapa

Leo wazee wa possessions na hoofing ball to kichwani kwa Tolu mmeuropu.

mmeshinda ila kwa mbiiiinde, hongereni lakini. Upepo unaweza ukasukuma embe mpaka kwenye mkorosho.

Kipofu kaona mwezi leo

Ama kweli poor performances huwa zinaua confidence za wachezaji na wapenzi wa timu. Baadhi ya posts zenu wakati wa mechi zimethibitisha hili.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli poor performances huwa zinaua confidence za wachezaji na wapenzi wa timu. Baadhi ya posts zenu wakati wa mechi zimethibitisha hili.

Kuna mechi hatutakiwi kushinda kwa kujiwekea mazingira magumu .... mechi kama ya leo.... ndio ninachokisemea miezi kama miwili tulishaanza kuwa kama enzi za Fergie vile
 
Kurudi enzi za Fergie bado mkuu. Kwanza lazima David Gill arudi FA, pili mjue jinsi ya kudefend. Msimu mzima defence yenu ipo ipo, enzi za Fergie mlikuwa mnajua kudefend hata mkiwa pungufu.
 
Back
Top Bottom