everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hahahahaha!!!!! Mtani nani amekwambia upite huku jamani!!! Tokea umfunge QPR mbona nakukomaaa!!!!!...........Mtani safar hii nisamehe tu kwa kweli naomba upigwe tu basi lipakiwe lile letu liwe cha mtoto.........Chelsea wakiamua kutuhujumu poa tu tutafanyaje. ......Mou ana kazi sana huku dent huku ticha........Hahaaaaa mtani nimeiona hii ila usitegemee hilo halitatokea Chelsea anafungika kurahisi sana