si mara zote wachezaji mnapaswa kufanywa kama mlivyofundishwa kucheza muda mwingine ni kutumia akili za ziada. timu kapteni anatakiwa kufanya hilo
Naona kuna dalili za siku ya kifo cha nyani msituni. Watangazaji wa mpira wananung'unika kwa nini goli la WBA linakuwa dogo
cute b uzalendo umenishinda leo.......kwaherini jamani....... Likiingia goli mniite.
WBA watapoteza ushindi mwishoni, wanashindwa kukeep possessions. Dakika 7 plus added zimesalia dalili zinaonyesha Man Utd watasawazisha probably na kushinda.Nevetheless Come on WBA!!!!!!