Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Let's do this #ManUnited
Unataka afanye nini Howard sasa hv anakula mafao yake.Maskini weee, where's Howard Webb?
Unataka afanye nini Howard sasa hv anakula mafao yake.
Aisaidie timu yake washinde hii mechi.
If titles and trophies were won by passes backwards and sideways, Man Utd would walk the title.
Acha majungu mtani .......
hapana mtani kwenye hilo nawapa 100% lakini kwanini hamtaki kupeleka mpira langoni mfunge? hawa WBA hawawezi kuvutika kirahisi wao wanatafuta sare tu.
Kha!!! Utafikiri tumerogwa ........
Techniques zimekosekana..... Ila mimi huwa najiuliza LVG haoni au hakuna key players wa kwenda kucover hilo tatizo?