Hatari si kidogo...hata sielewi nini kinachoendelea pale OT....yaani toka game dhidi ya rentboys, tactics zimekuwa too predictable kwa timu ku 'smash and grab' games...
Di Maria naye toka aporwe ni kama hataki tena kuendelea kuwa EPL...kama ni kweli auzwe aletwe Bale...Carrick kweli ni kiboko...hiyo inaonyesha timu ni budi kununua mbadala wake majira ya kiangazi...
Anyway, bado naamini top 4 United watakuwemo tu..
Mpaka machozi yananilenga hapa I can't believe tumepoteza tena...nishagombana na wife hapa si watoto kila mtu namuona ka ndio kachangia tupotezee game laleo...imagine naona additional time ni 4 minutes tushapigwa ADM anapiga fyongo afu wife eti anauliza kwani mnacheza na nani...wakati tofauti na Manchester hana timu nyingine anayoijua England
Kwa kweli ushabiki kazi...jibu nililotoa sidhani kama leo ntapewa unyumba