Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana na wewe. Jamaa ana-jealousy fulani dhidi ya Wenger especially relationship na support aipatayo Wenger toka kwa the top management. Alishasema mara kadhaa kwamba Arsenal ni moja ya timu zinazoendeshwa vizuri. Anatamani angepata nafasi ya kuwa supported na mabosi wake sema domo lake huwa linamwangusha kabla ya miguu yake kujikwaa. Mourinho mpaka sasa anajua kuwa kati ya timu kubwa England ni Chelsea(kama inahesabika kuwa ni moja ya timu kubwa) na Man City anapoweza kupewa ukocha. Ameshagundua kuwa hawezi kupata kazi Old Trafford labda itokee Sir Alex Ferguson afe vile vile atasubiri Wenger afe ndio apate kazi Emirates. Kifupi Wenger na Fergie wataendelea kuwa na internal influence ndani ya Man Utd and Arsenal respectively hadi watakapokufa. Vile vile Arsenal hawana mpango wa kutumia pesa kijinga jinga. Liverpool nako sijui kama watampa kibarua. Nina uhakika next employer wa Mourinho atatokea France.

Na morinho anajua wazi kuwa Chelsea ni timu ndogo yenye bosi mwenye pesa na haina mashabiki loyal wakati United na Arsenal ni timu kubwa zenye pesa na zina mashabiki loyal. Na anajua hawezi kupewa kazi huko.
 
Hajawahi kutafuta wala kutamani kazi huko maana huko hakutamwezesha kufikia malengo yake (mataji) huko ni saizi ya akina moyes!
 
Fikirisha kidogo akili yako utaelewa nilimaanisha nini. So far u don't have a clue!

If that is really the case, your post must be ambiguous! Hence succeptible for multi-interpretations! According to me you was indirectly reminding for example chelsea fans that, there was a point in time when their club spent 100 years without a premier league silverware! My response to that is "mavi ya kale hayanuki" I may also add "yaliyopita si ndwele tugange yajayo".
 
Haya mkuu....hongereni kwa EPL title after FIVE SEASONS!
 
Duh!! Naona hapa vita vya watoto wa Mourihno na Wenger ........ngoja nishushie papcorn nicheki muvi hili.

Hahahaaa eti wanatuletea specialist in failure vs Mou the special one?!! Khe khe khe Mou ana CV kubwa kuliko huyo babu Wa ugonjwa Wa kuanguka...
 
Nyie Gunners ni Mara ngapi Wenger aliingia ktk tatu bora au tano bora ya renk za makocha bora duniani?
 
Mkuu Moureen ni mtoto anayetanga tanga na ameshafahamu hawezi kuwa Manager wa Gunners kwa sababu ndio timu pekee ambayo hataweza kuwa manager na hasira zake ndio kuropoka namna hiyo. Sio kocha bali ni kichaka anafahamu fika siku si nyingi kibarua chake kitaota mbawa mark my words. Analilia sana kuja kuwa manager pale Emirates lakini hapati ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Hatuajiri wajinga kama yeye tunaajiri Professors.

A professor with a speciality in failure! such one can only be found at emirates!
 
Sasa mbona mnajaza space ya Manu nyie watu wa Mourinho ma Wenger?? Kajazeni server zenu, sio hapa kwa Manu!

Wao wamelianzisha huku kwenu baada ya mdau mmoja Wa ManU kuwapa kijembe cha Mou hao Gunners maana walizidi kejeli kwa ManU kufungwa na Everton sasa walivorushiwa hicho kijembe ndio wakageuka kumshambulia Mourinho..... Na sisi tukatia timu kumtetea baba....

Isiwe tabu Mkuu tutawapisha....
 
Sasa mbona mnajaza space ya Manu nyie watu wa Mourinho ma Wenger?? Kajazeni server zenu, sio hapa kwa Manu!

Waache hapa hapa wapambane weee wakichoka tutawapatanisha, hapa the Old Trafford ndiyo sehemu salama kwao......lol , waiter ongeza nyingine...........
 
Na morinho anajua wazi kuwa Chelsea ni timu ndogo yenye bosi mwenye pesa na haina mashabiki loyal wakati United na Arsenal ni timu kubwa zenye pesa na zina mashabiki loyal. Na anajua hawezi kupewa kazi huko.
barafuyamoto sijui hakuona hii post ya mdau wa ManU na yeye akiwasaidia gunner kumshambulia Baba?

Sasa mbona mnajaza space ya Manu nyie watu wa Mourinho ma Wenger?? Kajazeni server zenu, sio hapa kwa Manu!

Waache hapa hapa wapambane weee wakichoka tutawapatanisha, hapa the Old Trafford ndiyo sehemu salama kwao......lol , waiter ongeza nyingine...........

Ya moto au ya baridi? Alafu sijakuona kuzungusha Round ujue? Zungusha bhana we sema tu mupe tano yule. Huyo mupe moja huyo muruke huyo mupe dompo huyo muache huyo saba....hahahahaaa Tized Mzee Wa kuzungusha round anajua sn haya makitu...
 
Last edited by a moderator:
Naona vitoto vya moureen vinavyowewesekaweweseka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vilikuja Emirates vikaambulia kuharibu statues ..... ...... . hata havielewi kitu ni umafioso tu phew! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Lol everlenk, mimi na wewe twajua vyema kuwa unakifahamu kizungu vizuri...imekuaje leo unaongea broken ivyo!?? Si bure Mirallas alifanya kazi nzuri aisee...

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

IN OTHER NEWS: Pole sana kwa flu my best friend BelindaJacob.....recommended dose, "2 shots from Falcao..." hahahahhahahahahahahaha

Asante bestito, kweli adui mwombee njaa 🙂) Nimeshapoa besti friend maana flu ilikuwa kali ukiongezea na kichapo basi nilikuwa ovyooo.
 
Nafurahi kusikia unaendelea vizuri, mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Huu upenzi na ushabiki kwa hizi timu wakati mwingine unatutesa sana lol! lakini pia zinapokuja kushinda furaha yake haielezeki. Usiku mwema.

Asante sana BAK
Nimeshapoa na flu imepungua maana ile J2 nilikuwa hoi bin taaban ukiongezea na 3-0. Natumaini uko salama kabisa.
 
Back
Top Bottom