Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Meanwhile in Spain...

11188216_944681108924138_5475660073952959747_n.jpg

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wapinzani huwa timu yetu ikifungwa mnafurahi kuliko hata timu zenu zikishinda
 
Asante mtani, Dah!! Mtani Jana aibuuu! Naona zimwi linalokukula linataka linile na Mimi ,kwangu lishindwe na lilegeee kabisaa......

Nitakupa pole weye tu wengine wote kina Nzi, chijui Belo, mfarisayo, prondo, long time absentee @Eqlpssssssssssssssssssssssssy et al walie tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ..... Ngongo yeye na Manda walishasepa tangu alifu.
 
Last edited by a moderator:
Meanwhile in Spain...

11188216_944681108924138_5475660073952959747_n.jpg

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nawe mungiki Brother umezidi timu yako ya Mancs chacha mnazomea wachezaji wenu aibu. Khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bora umekimbilia kwa Mafioso wenzako khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... .... dong ... .....
 
Roberto Martinez: Everton better than Manchester United in 'every department' Dah ukweli unauma sana hadi kwenye mtima. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ..... .... dong ..... ...... ...

“It was two teams trying to win - eye to eye over 90 minutes - and I think we were the better side in every department,” said the Spaniard.

Ukweli unauma .... .... ...... ..... Nachikia Judas anajuta chacha .... ...

Nawe mungiki Brother umezidi timu yako ya Mancs chacha mnazomea wachezaji wenu aibu. Khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bora umekimbilia kwa Mafioso wenzako khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... .... dong ... .....

Shukuruni jana hatukuanza na striker...
 
Shukuruni jana hatukuanza na striker...

So, was that our problem? Chi umeona hata media imenyong'onyea kisa Cesc hachezi two matches na kule Leicester hamatoki kesho, then palace wanakuja kuwabamiza kwenye cowshed .. .... .... .. ding ... ... dong patamu hapo khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kuna vitu vichache sana vya Mourinho ninavikubali hiki ni kimoja wapo

Chelsea manager Jose Mourinho laughed off the Arsenal crowd's "boring" jibes by reminding the Gunners of their wait for the Premier League title as his side closed in on the trophy.

"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring," Mourinho said.

"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.

rubaman na #TeamWakaangaSumu wote
 
rubaman na [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamWakaangaSumu]#TeamWakaangaSumu [/URL] wote

Title? FA Cup sio title siku hizi? Mourinho ni bonge la jinga/no class. Sijawahi kuona kocha/manager wa timu yoyote anabishana na wapenzi wa soka. kocha vs kocha inaeleweka sio kocha vs fans. Uliwahi kumuona Fergie anajibishana na rival fans eg Liverpool, Leeds Utd au City?
Plus tupo mbioni kuwagonga Aston Villa mwezi ujao katika fainali. Najua #TeamWakaangaSumu mtakuja na wimbo mwingine
 
Mkuu Moureen ni mtoto anayetanga tanga na ameshafahamu hawezi kuwa Manager wa Gunners kwa sababu ndio timu pekee ambayo hataweza kuwa manager na hasira zake ndio kuropoka namna hiyo. Sio kocha bali ni kichaka anafahamu fika siku si nyingi kibarua chake kitaota mbawa mark my words. Analilia sana kuja kuwa manager pale Emirates lakini hapati ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Hatuajiri wajinga kama yeye tunaajiri Professors.
 
Nakubaliana na wewe. Jamaa ana-jealousy fulani dhidi ya Wenger especially relationship na support aipatayo Wenger toka kwa the top management. Alishasema mara kadhaa kwamba Arsenal ni moja ya timu zinazoendeshwa vizuri. Anatamani angepata nafasi ya kuwa supported na mabosi wake sema domo lake huwa linamwangusha kabla ya miguu yake kujikwaa. Mourinho mpaka sasa anajua kuwa kati ya timu kubwa England ni Chelsea(kama inahesabika kuwa ni moja ya timu kubwa) na Man City anapoweza kupewa ukocha. Ameshagundua kuwa hawezi kupata kazi Old Trafford labda itokee Sir Alex Ferguson afe vile vile atasubiri Wenger afe ndio apate kazi Emirates. Kifupi Wenger na Fergie wataendelea kuwa na internal influence ndani ya Man Utd and Arsenal respectively hadi watakapokufa. Vile vile Arsenal hawana mpango wa kutumia pesa kijinga jinga. Liverpool nako sijui kama watampa kibarua. Nina uhakika next employer wa Mourinho atatokea France.
 
Naona Mou anawapa shida eeh?? mnakesha kuandika gazeti!! kwa Mou hakopeshi, ni black and white.. so keep waiting and waiting and waiting.. and boring!! hayo yanaitwa makavu, eat it!! khekhe kheerrr!!
 
Mkuu Moureen ni mtoto anayetanga tanga na ameshafahamu hawezi kuwa Manager wa Gunners kwa sababu ndio timu pekee ambayo hataweza kuwa manager na hasira zake ndio kuropoka namna hiyo. Sio kocha bali ni kichaka anafahamu fika siku si nyingi kibarua chake kitaota mbawa mark my words. Analilia sana kuja kuwa manager pale Emirates lakini hapati ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Hatuajiri wajinga kama yeye tunaajiri Professors.

Nakubaliana na wewe. Jamaa ana-jealousy fulani dhidi ya Wenger especially relationship na support aipatayo Wenger toka kwa the top management. Alishasema mara kadhaa kwamba Arsenal ni moja ya timu zinazoendeshwa vizuri. Anatamani angepata nafasi ya kuwa supported na mabosi wake sema domo lake huwa linamwangusha kabla ya miguu yake kujikwaa. Mourinho mpaka sasa anajua kuwa kati ya timu kubwa England ni Chelsea(kama inahesabika kuwa ni moja ya timu kubwa) na Man City anapoweza kupewa ukocha. Ameshagundua kuwa hawezi kupata kazi Old Trafford labda itokee Sir Alex Ferguson afe vile vile atasubiri Wenger afe ndio apate kazi Emirates. Kifupi Wenger na Fergie wataendelea kuwa na internal influence ndani ya Man Utd and Arsenal respectively hadi watakapokufa. Vile vile Arsenal hawana mpango wa kutumia pesa kijinga jinga. Liverpool nako sijui kama watampa kibarua. Nina uhakika next employer wa Mourinho atatokea France.

Mnajidangaya na kujifariji nyie wenyewe.... Mnachekesha sn...Mou mwenyewe alishakili kua anaipenda sn Chelsea na ni shabiki mkubwa Wa Chelsea na ndio maana akarudi Chelsea... Sasa huko kwenu mnakoborewa kwa kukaa misimu kumi bila kombe afate nini Mou? Kwa uwezo Wa Mou na CV Yake kubwa kuliko huyo babu wenu Wenger Mou anaweza kufanya kz ktk timu yoyote ile bila kipingamizi chochote....iwapo babu wenu Wenger ataacha kutoa maneno shombo kwa Mou Mou na yeye atakaa kimya...anaongea shombo dhidi ya Gunners sio eti kwasababu ameona hana nafasi ya kuifundisha Gunners... Mou hana muda huo mchafu...kwa Chelsea amefika ata asipochukua makombe....

Mnalishana matango tu eti Arsenal hawana mpango Wa kutumia pesa kijinga umeona Chelsea wanatumia pesa kijinga? Umefatilia wachezaji waliouzwa kwa Chelsea na walionunuliwa ukaona kua pesa zinatumika kijinga? Au ukaona hakuna faida? Msijidangaye!

Mourinho kwa sasa ktk Chelsea ana wakati mzuri sn kuliko mnavodanganyana...km chuki zenu dhidi ya Mou kwa babu yenu kushindwa kumfunga Mou zisiwafanye muongee tu hivyo....tupo wapenzi na walevi Wa Domo km mnavomuita hatutaweza kukaa kimya tukiona hoja zenu...
 
Hawana jinsi nyingine zaidi ya kufarijiana kwa maumivu wanayoyapata toka kwa "the special one" Hivi Wenger ni wa kuonewa wivu na Mourinho? you must be kidding if not joking! Kwa lipi? kwa mafanikio yapi? Miaka ya Wenger kama kocha ni mingi mno ukilinganisha na ya Mourinho, lakini ana mataji kiduchu mno pamoja na kuzeekea kwenye ukocha! Mourinho hakukosea kumpa sifa ya "specialist in failure" Hivi miaka kumi bila taji la premier league bado unajihesabu ni kocha katika level ya ushindani? Wenger ni kocha msaka tonge tu! Hiyo ndiyo motive pekee inayomweka kazini kwa sasa! Uwezo wa kushinda taji la premier hana, ndiyo maana wenye ndoto ya ukweli na mataji inabidi wahame wakayasake sehemu nyingine kama walivyofanya Fabrigas, na wale waliokimbilia man city! Mashabiki wa arsenal wenye hamu ya dhati na "epl glory" poleni maana mtasubiri sana! Mourinho amwonee wivu Wenger! wakati anamzidi kwa kila kitu isipokuwa umri! Hata kwa kipato Wenger ni cha mtoto kwa Mourinho! Si vibaya mashabiki wa arsenal mkahama walau kwa muda mpaka huyo babu atakapoondoka, vinginevyo jitahidini kuwa wabunifu wa kufarijiana kama mnavyofanya kwa sasa!
 
So, was that our problem? Chi umeona hata media imenyong'onyea kisa Cesc hachezi two matches na kule Leicester hamatoki kesho, then palace wanakuja kuwabamiza kwenye cowshed .. .... .... .. ding ... ... dong patamu hapo khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Teke la kuku hilo mkuu!
 
Kama:
1.tungekaa misimu kumi bila EPL title kama arsenal
2.tungekaa misimu ishirini bila EPL title kama Liverpool
3.tungekaa miaka 50 bila EPL title kama Chelsea

Hii thread ingekuwa na kurasa 1,000,000!!!!!

Ya kale hayanuki mkuu, wewe umejitapakaza sasa! Lakini pia watu huwa wanaenda uwanjani kuangalia timu wala siyo kwenye jumba la makumbusho! Ukitaka kuiona man u inamliza Bayern munich uefa 1999 kaitafute kwenye jumba la makumbusho wala siyo old traford!
 
Sijawai kuguswa na comment ya JF kama nilivyoguswa na hii, dah we jamaa umethink deep
 
Mnajidangaya na kujifariji nyie wenyewe.... Mnachekesha sn...Mou mwenyewe alishakili kua anaipenda sn Chelsea na ni shabiki mkubwa Wa Chelsea na ndio maana akarudi Chelsea... Sasa huko kwenu mnakoborewa kwa kukaa misimu kumi bila kombe afate nini Mou? Kwa uwezo Wa Mou na CV Yake kubwa kuliko huyo babu wenu Wenger Mou anaweza kufanya kz ktk timu yoyote ile bila kipingamizi chochote....iwapo babu wenu Wenger ataacha kutoa maneno shombo kwa Mou Mou na yeye atakaa kimya...anaongea shombo dhidi ya Gunners sio eti kwasababu ameona hana nafasi ya kuifundisha Gunners... Mou hana muda huo mchafu...kwa Chelsea amefika ata asipochukua makombe....

Mnalishana matango tu eti Arsenal hawana mpango Wa kutumia pesa kijinga umeona Chelsea wanatumia pesa kijinga? Umefatilia wachezaji waliouzwa kwa Chelsea na walionunuliwa ukaona kua pesa zinatumika kijinga? Au ukaona hakuna faida? Msijidangaye!

Mourinho kwa sasa ktk Chelsea ana wakati mzuri sn kuliko mnavodanganyana...km chuki zenu dhidi ya Mou kwa babu yenu kushindwa kumfunga Mou zisiwafanye muongee tu hivyo....tupo wapenzi na walevi Wa Domo km mnavomuita hatutaweza kukaa kimya tukiona hoja zenu...

Wivu ? Mapenzi upofu Wenger kafundisha toka 1980's mpaka Leo vikombe 13, Jose 2000's mpaka sasa vikombe 22 ( 2 uefa champ glory ) .Wenger umri 65, Jose 52 basi hata kama Jose anamwonea wivu ni umri tu sio CV
 
Ya kale hayanuki mkuu, wewe umejitapakaza sasa! Lakini pia watu huwa wanaenda uwanjani kuangalia timu wala siyo kwenye jumba la makumbusho! Ukitaka kuiona man u inamliza Bayern munich uefa 1999 kaitafute kwenye jumba la makumbusho wala siyo old traford!

Fikirisha kidogo akili yako utaelewa nilimaanisha nini. So far u don't have a clue!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom