Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1430075014511.jpg
    1430075014511.jpg
    23.1 KB · Views: 127
Yaan leo mme-posses 62% vs38% na goli mkapigwa? Mmeshindwa lakin hongera kwa kuposses watan zetu...kila team na vission zake nyinyi ni kuposses kwa kwenda mbele point majaaliwa
 
Jamani imetosha leo mmetunanga hadi tumekoma.
Man U hatujazoea shida ati sijui hii misimu miwili vipi...

Acha tu Mimi nawaza tu kesho job naingiaje??? Inabid nitafute miwani ya mbao na nitatupia kajez kangu.....
 
Yaan leo wanapita tuu hata kutufariji hakuna....
Nimeenda kumwita Ntuzu amesema huku kwetu kuna msiba na yeye kwenye nyumba ya msiba haingii......
Ila kesho watakuja tuu

Aaaah!! Bora hata wangemaliza leo ,kesho wakija tutakuwa kamili na sisi no pain again wakileta za kuleta tunawapa za Uso tu.....
 
Last edited by a moderator:
Acha tu Mimi nawaza tu kesho job naingiaje??? Inabid nitafute miwani ya mbao na nitatupia kajez kangu.....

Miwani ya mbao hahahahaaaaaaa......mimi washanizoea yaan coz tukifungwaga kesho yake lazma nitupie jez yaan nawaacha hoi kinoma wanashindwa ata kunitania yani.....
 
Aaaah!! Bora hata wangemaliza leo ,kesho wakija tutakuwa kamili na sisi no pain again wakileta za kuleta tunawapa za Uso tu.....

Hahahaaa......ila na sisi ni watata sana yaan timu nyingine wakifungwagwa mida kama hii wapo kwenye mablanket wanakoroma lakini sisi sasa ni sheeeedaa tumefungwa lakini fujo zipo pale pale......
We are proud to be man u fans.....
 
everlenk cute b BelindaJacob RRONDO Nzi Belo kitwala et al et al....POLENI SANAAAAAAAAAAAAA

HAHAHAHAHAHAHAHA..

Ninachoweza kuwahakikishia tu ni kuwa kesho...nitawadediketia lisaa limoja kwa ajili yenu..hasa wewe Nzi mzee wa possession!

Baada ya kusema hayo naombeni kuelekea stamford bridge maana ndo kwanzaaa nawasha data nikitokea le Emirates...byeeeee

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee....
 
Asante sana Mentor lakini nashangaa ata sijaumia roho tulivyofungwa yaan nipo happy adi nashangaa
 
Last edited by a moderator:
everlenk cute b BelindaJacob RRONDO Nzi Belo kitwala et al et al....POLENI SANAAAAAAAAAAAAA

HAHAHAHAHAHAHAHA..

Ninachoweza kuwahakikishia tu ni kuwa kesho...nitawadediketia lisaa limoja kwa ajili yenu..hasa wewe Nzi mzee wa possession!

Baada ya kusema hayo naombeni kuelekea stamford bridge maana ndo kwanzaaa nawasha data nikitokea le Emirates...byeeeee

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee....

Tumepoa Mentor
Kusema kweli msimuu jinsi tulivyoanza na hapo tulipo ni hatua kubwa sana.
Tunataraji makubwa zaidi next season.
 
Last edited by a moderator:
everlenk cute b BelindaJacob RRONDO Nzi Belo kitwala et al et al....POLENI SANAAAAAAAAAAAAA

HAHAHAHAHAHAHAHA..

Ninachoweza kuwahakikishia tu ni kuwa kesho...nitawadediketia lisaa limoja kwa ajili yenu..hasa wewe Nzi mzee wa possession!

Baada ya kusema hayo naombeni kuelekea stamford bridge maana ndo kwanzaaa nawasha data nikitokea le Emirates...byeeeee

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee....

Asante besti..kipigo kimeniuma sana, ukichanganya na flu kali iliyonikamata basi siku imeharibika vibaya mno. Duh!!
 
Back
Top Bottom