Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ni macho yangu ama lile lilikuwa tangazo la website ya serikali ya Tanzania? Hawa watoto tukitulia tunawafunga, tangu Berba amengia kumekuwa na some sparks.
 
Danny Welbeck hachezi leo, kutokana na makubaliano ya mkopo. Huyu Nani sometimes anakuwa selfish sana, natumaini Chicharito atakuwa the difference we need. This game is shitty.
 
Hii mechi ni sawa na kuangalia mechi ya Liverpool, what a boring game.
 
Duh tumebahatika sana kupata point leo, kwa uchezaji huu hii tiu inanipa sana wasi wasi.
 
Hivi ni macho yangu ama lile lilikuwa tangazo la website ya serikali ya Tanzania? Hawa watoto tukitulia tunawafunga, tangu Berba amengia kumekuwa na some sparks.

Danny Welbeck hachezi leo, kutokana na makubaliano ya mkopo. Huyu Nani sometimes anakuwa selfish sana, natumaini Chicharito atakuwa the difference we need. This game is shitty.

Hii mechi ni sawa na kuangalia mechi ya Liverpool, what a boring game.

Duh tumebahatika sana kupata point leo, kwa uchezaji huu hii tiu inanipa sana wasi wasi.

Kwa spidi hii Man U isahau ubingwa.




Duh! Naona ulikuwa peke yako leo jamaa wote wameunyuti. Mkuu Belo vipi leo? Kazi kweli kweli. khe khe kheeeeeeeeeee
 
Eqlypz, Belo et al tatizo ni kwamba akina Giggs, Scholes na Van de Sar wamezeeka sasa na mumeshindwa kusajili warithi wao kutokana na sababu zinazoeleweka (ukata)
Kwenye viungo timu yenu iko dhaifu akina Gibson na Carick pamoja na kuwa ni wachezaji wazuri lakini hawana consistency
 
HODI OLD TRAFODI - Poleni kuponea chupuchupu Jana, timu yenu inapwaya.

Tangu Kuondoka kwa Teves na Ronaldo sioni Man U - Ikicheza ule mpira wa kasi na kivutia na kupiga magoli ya counter attack. Si Mau U ile tuliyokuwa tumezoea kuagalia. Mchezo wa Jana dhidi ya Suderland umedhihirisha hilo.

Beki bado inapwaya, Mid pia ni tatizo - Scholes uzee huo, tayari hawezi kucheza games zote 50 never!

Ilikuwa kosa kubwa kumwachia Teves kuvuka ngambo, hili kosa litamtafuna Faggy kwa ubaguzi wake.
 
Uzee wa wachezaji sio tatizo kabisa Paul Scholes,Giggs na Van de Sar pamoja na uzee wao lakini wako kwenye viwango bora.Msimu huu tatizo letu kubwa sana ni defence na kutokuwa makini then tunatakiwa kupata Atacking Midfielder mpya kama Schneider.
 
Mkubwa TEVEZ alikuwa Man U akatoa mchango wake akaondoka ,wanakuja wengine nao wataondoka kuwapisha wengine katika wachezaji ambao najuta kwa nini Fergie aliwauza ni Gerrard Pique na Ruud Van Nistelrooy
 
Kila siku wanasema MAN U siku hizi mbovu but nashangaa tukicheza nao tunawafunga,na wanashindwa kuchukua ubingwa mbele ya Man U mbovu last season Chelsea walituzidi point 1 game ya mwisho ya msimu
 
Kila siku wanasema MAN U siku hizi mbovu but nashangaa tukicheza nao tunawafunga,na wanashindwa kuchukua ubingwa mbele ya Man U mbovu last season Chelsea walituzidi point 1 game ya mwisho ya msimu

Kuifunga Chelsea si kigezo cha perfomance ya timu, perfomance inatokana na kucheza game zote 38 za kwenye ligi kwa usahihi, Ningependa tu mkubwa ukubali kwamba Man U ya leo si ile tuliyozoea kuiangalia, kuvaa jezi ya man U mtaani yataka moyo.

Namuheshimu mzee Faggy kwamba ni kocha mzuri anaweza kubadilisha mambo haraka, lakini bado nina shaka na wachezaji wenyewe kwamba hawatakuwa tayari ku deliver, Hebu tuchukulie safu ya ushambuliaji je ni nani hasa wa kucheza combination tamu na Rooney pale mbele kama tulivyokuwa tumezoea? you will still miss combination ya Teves, Rooney na Ronaldo.

Ni kweli lazima kusahau yalishapita kwani washaondoka hao, lakini kupata replacement ya Teves na Ronaldo si kazi ndogo, inaweza chukua misimu mitatu hadi mitano.

Madrid ilipomuuza Makalele angalia kilichotokea, Liverpool walipomuuza Alonso na wengineo angalia msiba walionao - Arsenal walipomuuza Flamin na wengineo angalia yanayowakuta - Uchezaji wote unabadilika. Kweli jana nimecheki game ila nilihudhunika sana wakati Faggy mwenyewe akifurahia droo.
 
Hehehe here we go again knee-jerkers saying its all doom and gloom at old trafford lakini you are forgetting this is our first game we haven't managed to score.

Unajua kuna kitu nashindwa kukielewa miaka yangu yote ya kushabikia Manchester United, tusipocheza vizuri basi utasikia mngemsajili mchezaji huyu na yule blah blah... ukiangalia timu hii ndio ilimaliza point moja nyuma ya mabingwa. Sasa hivi tusumbuliwa na lack of consistency na form yetu iko chini other than that we are still building a team we may not see the results right away but Man Utd's future is very bright if most of the youngsters fulfill their potential in a year or two.

Tatizo la midfield ni fitness na form, Fletcher form yake iko chini, Carrick bado hajagain confidence, Anderson amerudi kutoka kwenye long time injury, Giggs majeruhi, Valencia majeruhi, Park hayuko kwenye form, Obertan, Gibson na Bebe bado hawajafuzu kuwa regulars kwenye first eleven. So tunabakiwa na Scholes na Nani ambao wako fit. Ukiangalia beki na washambuliaji nao bado hawajahit top form lakini nina uhakika watahit form.
 
Issue ya ubingwa bado itakuwa kati yetu, Chelsea na Man United this season. Sidhani kama Man City watakuwa consistent enough to fight for the title, they are more likely to finish third with Spurs and Arsenal battling for fourth.
 
walikuwa wanaongoza kina aston villa hadi hull city,mwishoni wanagombania kutokushuka daraja,halafu kwa timu kama man utd,sio ya kutabirika,msimu uliopita mliona chelsea hadi mechi ya mwisho anatawazwa ubingwa licha ya kushinda mechi vs arsenal,man utd na liverpool home and away zote,na ile nadhani ilikuwa mistake ndogo man utd iliwabania ni mechi ya blackburn kukosekana kwa rooney,halafu wakawavaa bayern munich home and away ktk uefa halafu chelsea,bila hivyo walikuwa wanachukua ndoo tena mana wakikaa kileleni wale ni wabishi,kwahiyo man utd wameondoka wengi kaondoka beckham,forlan na man utd imesimama,uzuri wa fergie haangalii majina amamuamini kila mchezaji pale man utd,kwahiyo kuondoka kwa tevez na ronaldo sio kigezo kikubwa sana japo walisaidia sana man utd,hata hawa ni bado tu hawajatulia saa nyingine inatokea ktk timu kunakuwa hivyo hususan mkicheza ktk presha kubwa huku ukiwa unamhofia mpinzani wako mnaewania nae ubingwa na ukifungwa au draw mechi hata 1 tu inayofuata unakuwa hampo ktk hali ya kujiamini yani confidence,ni mapema kusema man utd imeisha kisa fulani kaondoka,bado wapo sawa wamemfunga valencia kwao ktk uefa champions league sio timu ya kubeza,achilia mbali draw au kutoshinda hata mechi 1 ugenini ktk premier ligi.
 

Watani vipi tena mbona hali kifedhwa inatisha? ondoeni yanks haraka mifano hai tunaona kwa Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…