Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ili ujue Mpira hautabiriki na unadunda,sisi Chelsea tunaoongoza ligi tumewafunga man u kamoja,Leo wanapigwa 3-0 kirahisi na everton
 
Man U ya leo imeharibiwa na substitution mbovu za LVG. Ikipata hata bao moja nitashangaa sana, bado tutaona bao zaidi.
 
Hii gemu imekwisha hatuna chetu hapa.....na tukiendelea hivi tutajikuta kama Liverpool now...
 
Chelsea ni kibonde,
Man United ni kibonde,
Man City ni kibonde,
Liverpool ni kibonde zaidi

Mpwa kwema hapa?

Nilipokuambia kuwa mechi za kushinda ww zimeisha naanza ku make sense kwako au?
 
Na bado Arsenal, Crystal palace wote hao lazima wamgonge huyu mbweha
 
Laiti kama Everton wangekuwa wanakamia mechi zote namna hii tungekuwa tunawaongelea kwenye Big 4.

Hata hivyo Man U ya leo nyanya imedharau mechi ikitegemea ball possession ya 30 kwa 70.

Mahsusi kwako. Timu kama everton kumfunga Man u timu yenye historia kubwa sana england sio ajabu. Ni sawa na Mikia FC / MAJIZI FC / Simba FC kumfunga Yanga sio ajabu kabisa.

79' Everton 3 Man u 0
 
leo kweli imekula kwetu....ila ndiyo mpira....

WBA ya Pullis week ijayo
Mna kazi kwelikweli maana mkitoka hapo WAPIGA GOBOLE wanawapiga

Majogoo tunacheza Champion League hii haina ubishi
 
Back
Top Bottom