palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Daley Blind, inabidi abadilishwe
Je ungekua arsenal?
Kule kwa Shaw jamaa wamepamudu sana.
Ikiwezekana amrudishe Rooney kati, blind acheze kwa Shaw, Falcao amalize pale mbele.
Ningekua kocha ngemtoa rooney,nowdays kiwango kimeshuka sana
Sijui kwa nini napenda man u adi natamani kulia jamani daaah