Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asante sana mfarisayo kwa hii article labda itainua mioyo ya watu ambao wanaona kushindwa tu,najua haitakuwa kazi rahisi na ni pengo kubwa kumkosa Carrick na hao viungo wengine, lakini naamini ushindi ni lazima whatever the case.....
 
Last edited by a moderator:

Pengo la Carrick linaweza kuzibwa na Herrera kwa kiasi kikubwa shida zaidi ni mabeki Phil Johns na Rojo wote kukosekana. Binafsi naona ni bora Young arudi kucheza beki 3 na nafasi yake ichukuliwe na Di Maria ili Luke Shaw aende kucheza katikati na Smalling
 
Poleni sn wakuu
 
Heee Ntuzu kwani kuna msiba hapa!!! Majeruhi ni kawaida kwenye timu!! Come on I don't like that words!!!!.......

Nimetoa pole kwasababu ninaona mnapanga Na kupangua.....mnatiana moyo na kufarijiana....
Anyway natengua kauli yng!
 
Last edited by a moderator:
Nimetoa pole kwasababu ninaona mnapanga Na kupangua.....mnatiana moyo na kufarijiana....
Anyway natengua kauli yng!

Mmesahau ninyi wiki nzima hii yote mlikuwa mnafanya nini ?? Si mlipanga na kupangua weeee mkageuka kuwa Mou, mkatiana moyo mkafarijiana mkapeana maconfidence kibao, kwahiyo sisi leo kufanya hivyo ndo tushakuwa nongwa eh? Mm niliwajibu pangeni muwezavyo lakini ushind lazima, hata hapa mimi sijasema kabisa kikosi changu ni kipi ambacho kinafaa sina wasiwas kabisa, asante kwa pole yako but we don't deserve it,we are the winners............sorry my lovely boy kama nimekukwaza.
 
Una maneno ya kishujaa wewe
 
Heee Ntuzu kwani kuna msiba hapa!!! Majeruhi ni kawaida kwenye timu!! Come on I don't like that words!!!!.......

Kwa upande mwingine Mimi bado siamini hizi hbr za majeruhi mpk kesho nione kikosi chenu kinaingia uwanjani.

Maana LvG anataka kujifanya km msemaji Wa serikali ya Sadamu Hussein wakati ule Wa vita.....
 
Last edited by a moderator:
Mmesahau ninyi wiki nzima hii yote mlikuwa mnafanya nini ?? Si mlipanga na kupangua weeee mkageuka kuwa Mou, mkatiana moyo mkafarijiana mkapeana maconfidence kibao, kwahiyo sisi leo kufanya hivyo ndo tushakuwa nongwa eh? Mm niliwajibu pangeni muwezavyo lakini ushind lazima, hata hapa mimi sijasema kabisa kikosi changu ni kipi ambacho kinafaa sina wasiwas kabisa, asante kwa pole yako but we don't deserve it,we are the winners............sorry my lovely boy kama nimekukwaza.

Duh? Unajiamini wewe?!!! Nzi na RRONDO wanachungulia tu....yangu macho mamito hiyo kesho....
Haujanikwaza kabisa Dada yng ila nimependa sn unavojiamini.....big up sn aisee....
 
Last edited by a moderator:
Duh? Unajiamini wewe?!!! Nzi na RRONDO wanachungulia tu....yangu macho mamito hiyo kesho....
Haujanikwaza kabisa Dada yng ila nimependa sn unavojiamini.....big up sn aisee....

Hahahaha!! Wobheja sana Ngosha wane......Nashukuru sana kama sijakukwaza, kesho usiniquote wala usinimention na mimi sitafanya hivyo lol( just kidding)
 
Last edited by a moderator:
I see. Naona joto linazidi kupanda. Pande zote mbili zinataka kuonyeshana umwamba nje ya nyasi. Lakini mwisho wa siku ni 0-0, 1-1,.....
Eli79 bana!! kawaida sana... Nimekwambia kesho hakuna draw ni ushindi tu... Na Man U ndo mshindi, kesho utaangalia yetu au yenu???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom