Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna lolote nyie Chelsea kwa sasa one man timu tegemeo lenu ni Hazard tu wengine wote wa kawaida, na huyo Hazard siku hiyo hapiti kokote. Nakushangaa unataja wachezaji takataka kama Remy, hivi Remy naye ni mshambuliaji wa maana katika EPL????
 
jamani napita tu kuwasalimu wenzangu wote wa OT na wale wapinzani wetu akina @Malafyale Ntuzu .....zile mechi ngumu tano so far ni 5-5,five played....five wins!!! bado moja.
 
Tunajua ni kwanini hivi vitimu vidogo vibishi...lkn jambo zuri ni kwamba tumeshida.

Tunakusubiri wewe timu kubwa uje uone kz.

Timu yenu imeshachoka na kocha wenu hana plan B kizuri ni kwamba mlishinda game nyingi mwanzo, Man United kwa sasa timu imetulia idara zote. Young, Mata, Rooney, Fellaini, Herrera wote wanafunga magoli
 
Van gal alishasema city ndo watakaopigania nafas ya nne tena aliongea mwez wa pili
 
Hamna lolote nyie Chelsea kwa sasa one man timu tegemeo lenu ni Hazard tu wengine wote wa kawaida, na huyo Hazard siku hiyo hapiti kokote. Nakushangaa unataja wachezaji takataka kama Remy, hivi Remy naye ni mshambuliaji wa maana katika EPL????

Sasa huyo Fulaini ni top mid za EPL au mmelewa kwa kuwafunga hao vibonde Spurs, LFC na Man city?

We njoo darajani uone moto!
 
Timu yenu imeshachoka na kocha wenu hana plan B kizuri ni kwamba mlishinda game nyingi mwanzo, Man United kwa sasa timu imetulia idara zote. Young, Mata, Rooney, Fellaini, Herrera wote wanafunga magoli

OK tulishinda game nyingi za mwanzo na sasa tumepoteza game ngapi za mwishoni? Mbona mnaingea tu?!

Hao uliowataja utawaona mizigo wote Belo...

Mou yupo kimya tu anakupangia timu kz...na uzuri ni kwamba hakutakua na maneno ya shombo kati ya Mou na LvG...lkn km LvG akianza Mou atarusha dongo mpk huyo Mzee LvG ataomba poh! Chezea Mou wewe?
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyo Fulaini ni top mid za EPL au mmelewa kwa kuwafunga hao vibonde Spurs, LFC na Man city?

We njoo darajani uone moto!

Mkuu Ntuzu hao jamaa wakuwa vibonde mara hii?
Najua wewe ndo bingwa lakini kukufunga lazima
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu hao jamaa wakuwa vibonde mara hii?
Najua wewe ndo bingwa lakini kukufunga lazima

LFC, Spurs na City ni vibonde tu...

We njoo darajani uone kz...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu vipi kuhusu kuumia kwa Carrick? je maumivu makubwa au kawaida tu? maana yule jamaa ndio roho ya kiungo

Yani naomba asiwe na injury kubwa jamaa ni tishio sana kama haonekani hila ni cordinater mzur wa timu ana hold na kufungua safii sana@carik
 
Tatizo uko kwenye unazi zaidi kuliko hali halisi, angalia performance yenu tangu game na PSG,angalia na performance ya Man United mechi za karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo uko kwenye unazi zaidi kuliko hali halisi, angalia performance yenu tangu game na PSG,angalia na performance ya Man United mechi za karibuni.

Kila timu tunayocheza nayo tunacheza kulingana na adui yetu alivyo...njoo wewe sasa uone km performance yetu ikoje!

Tena kwa timu yenu ilivyonyepesi hamtaamini haya ninayosema!

Mnawafunga LFC na City timu zenye makocha vibonde na zilizochoka ndo mtaweza kumfunga Mou na Chelsea Yake? Tena darajani?

Wenger na timu Yake ya watoto alikuja hapo OT kikosi hichi hichi mnachokitegemea mkafungwa...ndio mje kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…