Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Hao watie maji vichwani mwao ili wanyoleweTukishinda mechi ya arsenal na chelsea ubingwa uhakika
Hao watie maji vichwani mwao ili wanyoleweTukishinda mechi ya arsenal na chelsea ubingwa uhakika
Asante Mungu, Asante LvG, asante crew nzima ya the United.
Glory Glory the United.
Asante Mungu, Asante LvG, asante crew nzima ya the United.
Glory Glory the United.
Tukishinda mechi ya arsenal na chelsea ubingwa uhakika
Tunashinda mechi zote zilizobakia
Chelsea tunamfunga na Arsenal anamfunga
Atatoa sare mbili. Ubingwa umemtokea puani. Hayo ni meno kumi kayaacha hawezi kupona. Kiwango kimeshuka mno.
Tukishinda mechi ya arsenal na chelsea ubingwa uhakika
Naomba ile picha etu ya chumba kwa chumba iongezewe chelsea mbele ama neneeeeeeee
Mkuu sasa akili tunazihamishia kwenye next game dhidi ya Chelsea..... dalili zote zinaonyesha kuwa vijana watarudi kwenye jiji la Manchester wakiwa wanatabasamu
cc Ntuzu