Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

umeongea kweli msimu huu katika mechi 19 za nyumbani tayari chelsea ameshinda mechi 12 , draw 3 and amebakiza mechi 4 kucheza. Sana sana man u wataambua sare.

Nimefurahi sn kwa haya matokeo kwasababu ManU km wangefungwa mchezo wetu ungekua mgumu sn. Lkn wanakuja darajani wakiwa wanajiamini vya kutosha..na huu mchezo utakua ni vita vya mbinu bora na ufundi kwa makocha.
 
Hongereni sana Man U popote mlipo!

Hii derby ya leo mlistahili kushinda sababu mlikuwa bora mno dimbani
everlenk hongera sana dada
Mkuu ndio umerudi baada ya dk 90 ulizosema....aksante sana kwa hongera yako..
 
Last edited by a moderator:
umeongea kweli msimu huu katika mechi 19 za nyumbani tayari chelsea ameshinda mechi 12 , draw 3 and amebakiza mechi 4 kucheza. Sana sana man u wataambua sare.

Kwa staili hii ya kusubiri mpaka fungulia mbwa ndiyo chelsea afunge bao 1 majanga yanawahusu. Gari kubwa limekata breki na dereva ameshuka ole wake anayechomeka Vitz yake....
 
ImageUploadedByJamiiForums1428859251.112028.jpg

Man Utd last 11 matches

WWDWLWWWWWW
 
Kwa staili hii ya kusubiri mpaka fungulia mbwa ndiyo chelsea afunge bao 1 majanga yanawahusu. Gari kubwa limekata breki na dereva ameshuka ole wake anayechomeka Vitz yake....

unakumbuka matokeo ya mechi raundi ya kwanza kati ya chelsea na man u?
 
Man u leo wamenifurahisha sana yani wametetea nafasi yao vizuri maana hawa man city walijua sisi hatujajipanga wakajua ndo watachukua nafasi ya tatu....... yaaan daa NATAMANI NIWAFUATE HUKO WALIPO NIKAWAPONGEZEE....ILA NITATAFUTA TUU NAULI
 
Kwa staili hii ya kusubiri mpaka fungulia mbwa ndiyo chelsea afunge bao 1 majanga yanawahusu. Gari kubwa limekata breki na dereva ameshuka ole wake anayechomeka Vitz yake....

Muulize kwanza LvG na Giggs watakwambia huo mchezo ni mgumu kuliko huu Wa City!
 
Ningekuwa mimi ni Malafyale ningesema Hata nyie sasa mnaogopa kucheza na Mashetani Wekundu

Kwa mpira niliona leo .. striker babu Drogba... tutatafutiana tuu lawama humu kwenye jamvi siku hiyo

Kwa mara ya kwanza msimu huu Chelsea anaingia kucheza na Man U akiwa ni "under dogs"!Man U wapo vyema zaidi ya Chelsea
 
Last edited by a moderator:
Ahadi yangu ni ile ile ......nipelekee salam zangu kwa Ntuzu Manumbu b5-click Mentor mwambien Mou akusanye video za kutosha angalie weweee ajipange upya.

Hongereni sn wakuu...

Lkn Mourinho hana haja ya kufanya hayo kwasababu anawafahamu wachezaji Wa ManU wote na kocha wake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom