Naunga mkono hoja.
Baada ya chumba cha Spurs, Liverpool, Aston Villa, Man City, kifuate chumba cha Chelsea na Arsenal.
Tunashinda mechi zote zilizobakia
Chelsea tunamfunga na Arsenal anamfunga
Atatoa sare mbili. Ubingwa umemtokea puani. Hayo ni meno kumi kayaacha hawezi kupona. Kiwango kimeshuka mno.
Mourinho anasema anapenda kucheza big game ata wachezaji wake wanapenda sn....
Jiandaeni na shughuli nzito
Ushindi wa 6 mfululizo ambapo tumewapiga Loserfools, Spuds na Shitty.
Watu walikuwa wakisema tutaambulia point 1 kati ya 9 😂😂
Naomba tarehe 18 uwepo wako uwe km huu Wa Leo ili haya maneno yako nikukumbushe.
Ningekuwa mimi ni Malafyale ningesema Hata nyie sasa mnaogopa kucheza na Mashetani Wekundu
Kwa mpira niliona leo .. striker babu Drogba... tutatafutiana tuu lawama humu kwenye jamvi siku hiyo
Naunga mkono hoja.
Baada ya chumba cha Spurs, Liverpool, Aston Villa, Man City, kifuate chumba cha Chelsea na Arsenal.
Kweli Man Utd ni timu kubwa Duniani
Kila mtu yupo ndani anaangalia mpira Man Utd wakiwa wanacheza, pamaja na wale wenye roho ya korosho juu ya mafanikio ya Man Utd.
Ningekuwa mimi ni Malafyale ningesema Hata nyie sasa mnaogopa kucheza na Mashetani Wekundu
Kwa mpira niliona leo .. striker babu Drogba... tutatafutiana tuu lawama humu kwenye jamvi siku hiyo
ingekuwa vp pale mbele pangekuwa cavan or yule van persie katika ubora wake
Mourinho anasema anapenda kucheza big game ata wachezaji wake wanapenda sn....
Jiandaeni na shughuli nzito
The united mnaniulia myson dah!! Jamani mtoto analia mpaka bas,namuonea huruma sana,mtoto anaipenda City kutoka moyoni.