ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
We di maria weeeeeeeeeee ( in joti voice)
raha utamu...................
Nitakupiga... ww hiyo nafasi tushikie...hivi vitimu vya mafuta navyo. Kiangazi kikifika vinapotea. Anywho, kama nilivyosema kombe lilishachukuliwa na Chelsea, nafasi ya 2 ni ya ARSENAL. Tukutane mwakani kugombea Kombe.
Di Maria nae amepata nafasi nzuri analeta maringo
Nakudediketia wimbo wa Kigeugeu wa jamaa yule wa Kenya.
Hii ni siku ya mwisho kwa man Utd kufurahi kwa msimu huu.nawashauri mfurahie sana leo maana huko mbele ni matatizo.
mamy hiyo raha waishushia na nini......maa mie hapa nina windhoek.....