raha utamu...................
Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan rahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
hivi vitimu vya mafuta navyo. Kiangazi kikifika vinapotea. Anywho, kama nilivyosema kombe lilishachukuliwa na Chelsea, nafasi ya 2 ni ya ARSENAL. Tukutane mwakani kugombea Kombe.
Mfalme kampany imekuwaje. Naona Man U wanapumzisha vifaa wanaingiza vifaa. Ngoja nikaagize mvinyo mwekundu nisherehekee.Wakulaumiwa ni Aguero ye ndo alikuwa ana kiherehere cha kufungaa