Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahahahahahaaaaaaaa tutakomaa na nyinyi hadi kieleweke. Hapo uswahiba pembeni, utatusamehe tu.

kitwala wala usijali Mkuu! Huu uswahiba hauzuii kurushiana tambo za hapa na pale ndio kwanza story zinanoga!

Nyie mkija darajani ni halali yetu lazima tuwapige kwasababu mchezo wenu na Wa Arsenal ni michezo ambayo itatuhakikishia kuchukua kombe hivyo basi tutaipa umuhimu mkubwa sn kuhahikisha hatupotezi kitu ambacho tunaweza!

Nyie malizaneni kwanza na City hivi karibuni then niwaalike wote ktk Uzi wetu kule turushiane tambo!
 
Last edited by a moderator:

Tutarushiana hapa hapa, safari hii jambia linakuhusu .....lol
 
Last edited by a moderator:
Lile jambia mmefanikisha kulipitisha kwa Spurs, LFC, Aston Villa na tarehe 12 mnatakiwa kulinoa kweli vinginevyo mtashindwa kumchinja Man City.

Hachomoki ,anaanzaje kuchomoka kwa kikosi kile? Kazi anayo....... Aiseee kama hizo 3 tumevuka salama hata za mbele yetu tutavuka salama, nikikumbuka humu mlivyokuwa mnatutisha na ratiba kwamba ni Ngumu kwetu nacheeeka sana, kweli Mungu si Athumani tumechomoa na tutachomoa tena na tena.........
 
Aiiweeee kumbe kule kushinda michezo kunafanya wachezaji wajiamini na mashabiki kujiamini pia? Aiseee nilikua sijui hili maana sasa mna full kujiamini!

Yaah. Nyie wenyewe mashabiki Wa ManU mlikua mnaona ratiba ni mbaya sn lkn hii ratiba imewapa kukomaa na kua makini vinginevyo mgebweteka mambo yangekua magumu!

Kusema ule ukweli mchezo wenu na City umekua mgumu sn hasa baada ya city kupigwa na Padew Jana...sasa city atakuja hapo OT akiwa na mashaka ya kutupwa kabisa nje ya top 4 na ili awe salama lazima asipoteze huo mchezo na pia Manu na yeye anataka kufika nafasi ya pili au ubingwa pia km itatokea. Kwa maana hiyo mchezo utakua mgumu sn ingawa sioni dalili za ManU kupoteza!
 
Ntuzu;

Hahahaha!! Sasa kama unafunga na kikosi kiko atleast si mbaya kwanini usiwe na confidence, tena unazurura hadi kwa majirani kifua mbele, au na nyie hamjioni mlivyo na kelele mnasumbua ile mbaya.

Sikatai kiukweli utakuwa mchezo mgumu sana kwetu na tukiangalia historia wana record nzuri juu yetu lakini pamoja na yote game hiyo tunachomoa labda LVG avuruge kwenye kupanga karata zake
 
Sisi hatuna maneno mengi kwasababu kushinda tumezoea!

Ktk hii first eleven ambayo ameipata LvG sizani km anaweza kukivuruga tens hichi kikosi!

Chris Smalling nafikiri atakua yuko fiti atasimama hapo kati kusaidiana na Jones.
Pembeni Blind na Valencia hawa wako vzr sn

Golini yupo De Gea Ubora wake sote tunaujua!

Herrera na Carrick wako pouwa kuhakikisha Toure Fenandinho hawafurukuti!

Manywele Fellain amekua mzuri sn ktk hii michezo mikubwa....atawasumbua sn city.

Rooney na Van P km ameshapona basi wanatakiwa kucheza hawa then Mata na Demaria watapokezana!

Kwa kifupi mko pouwa sn!

Sare na ushindi haya ni matokeo ambayo mtayapata!
 
Ntuzu;

Aiseee RVP hapana aiseeee tunamshuru kwa kazi nzuri aliyotufanyia muda wote na abarikiwe, ila kwa mechi hizi kubwa zilizobaki naomba LVG asimpange kabisaa,avumilie tu hilo benchi aiseee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aiseee RVP hapana aiseeee tunamshuru kwa kazi nzuri aliyotufanyia muda wote na abarikiwe, ila kwa mechi hizi kubwa zilizobaki naomba LVG asimpange kabisaa,avumilie tu hilo benchi aiseee!!!!

RvP bado yuko vzr sn sema Ashley Young na Mata wamekua wanafanya vzr sn hivi karibuni. Kwahiyo hawa wanaweza wakapangwa!

Msiwe na hofu mna kila sababu ya kufanya vzr huo mchezo mkizingatia mtakua OT sehemu yenu ya kujidai na kuchinjia watu!
 
Asante sana,naamini tutafanya vizuri tu.....
 
Dear Van Gaal,
This is a thank you letter, an appreciation. Thank you for everything, so far. Thank you for the philosophy - it's working. Thank you for appreciating individual brilliance - it's rewarding. Thank you for benching Mata & Herrera - it's made them better. Thank you for putting Rooney in midfield - he's scored even more so that he cannot return back there. Thank you for trusting Young & Fellaini - your faith gave them self belief and now they are awesome.

Thank you for getting Victor Valdes on a free transfer - every position is now competitive and wow! Thank you for keeping not starting Di Maria in the last two games - his possession has improved and he seems calmer, always assisting! Thank you for teaching those anger management classes - please make sure to do the same against Citeeh this weekend.
Speaking of this weekend, I have only one request. Make it hurt. Go forth and attack, go forth and score. While a win is a win: and we want a win, but, please... make hurt those guys.
Sincerely,
United Damu.

P.S. Thank you in advance for giving Rafael and opportunity to play against Citeeh - Seeing as how formerly benched players have performed when started, I wonder how Rafael would fare!
P.S.S. Thank you in advance for starting Di Maria on the left wing - I think he can outrun Demichelis, the 34-year old City defender who's their best performing guy at the back.
P.S.S.S. Thank you for sending Januzaj in the U21's - he's still U21 and he needs to get on with the programme.

11129639_356248837902926_5183750106023043072_n.jpg
 
Van persie aneungana na wenzake kwenye mazoezi
Duh! Ila mimi maombi yangu kwenye hizi mechi kubwa asipangwe.

Halafu gazeti la Daily Mirror limesema kwamba LVG yupo tayari kumuuza RVP na kumleta Cavan wa PSG. Kamchina kamegoma kuweka link, wadau mnalizungumziaje hili? Je Cavan ni chaguo sahihi kwetu?

Cc Nzi DonDonald kitwala RRONDO mfarisayo na #MUFC fans wote.
 
Last edited by a moderator:
Kimahesabu tukimbutua Shitty jumapili atabaki akifukuza point 4, hivyo tutabaki tukimpigia mahesabu Gunners ambaye anajifanya gari lake kaweka petrol ya kutosha. Hebu jumapili njoo haraka ili mawazo yetu yahamie tarehe 18 april.

Ni zaid ya petrol na spidi hii hamtumpiti hata kwa dawa ila mki draw na city tutawapongeza sana ila nawatakia mema muwafunge chelsea, liva nao wamfunge na arsenal tumfunge halaf a draw mech 1 Arsenal tunyanyue kombe kwa kushinda mech zote zilizobakia COYG
 
Duh! Ila mimi maombi yangu kwenye hizi mechi kubwa asipangwe.

Halafu gazeti la Daily Mirror limesema kwamba LVG yupo tayari kumuuza RVP na kumleta Cavan wa PSG. Kamchina kamegoma kuweka link, wadau mnalizungumziaje hili? Je Cavan ni chaguo sahihi kwetu?

Cc Nzi DonDonald kitwala RRONDO mfarisayo na #MUFC fans wote.

Cavan ni mchakalikaji mzuri sana uwanjani ila siyo goal scorer wa kuogopwa sana ktk dunia ya leo.
Akitua OT siyo vibaya ataongeza kachumbali na kuwafanya mabeki wa timu pinzani wasipande huku Rooney naye akifanya yake.
Kwa umri wake wa miaka 28 atatoa huduma kwa muda mrefu kidogo. Binafsi namuelewa maana bidii yake uwanjani ni burudani tosha.
 
Last edited by a moderator:
Cavan ni mchakalikaji mzuri sana uwanjani ila siyo goal scorer wa kuogopwa sana ktk dunia ya leo.
Akitua OT siyo vibaya ataongeza kachumbali na kuwafanya mabeki wa timu pinzani wasipande.

Huyo mdudu Cavan sisi pale Darajani hatutaki kabisa kumsikia lol!
 
Back
Top Bottom