Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu hata hatuiwazii tena, tuko kwenye mipango ya kuhakikisha tunawapa kichapo Man Shitty, Wazee wa Bus, Everton na Gunners.
Wewe tulia tu maana habari yako ishafahamika.

Jumapili kuna watu watakimbia hapa. Wengine watakodisha ndege au blimp yenye ujumbe wa kuhamasisha utimuliwaji kazi mtu.To be continue...
 
Mkuu nakupa 100/100 kwa post hii. Unajua mpira kuliko wapenzi wote wa Manchester United wanaoshikika siku hizi.
Malafyale aiseme man u vizuri!
Kwa kipigo tulichompa lazima roho imuume.
Keshokutwa saa 1800 siyo mbali man c wanakaa, chelsea wanakaa na everton pia.
Amin haya niyasemayo.
 
Last edited by a moderator:

Hapo unaweza pata sare kwa Everton tu!!

Man City,Arsenal na Chelsea wanakupiga
 
Last edited by a moderator:
Jumapili kuna watu watakimbia hapa. Wengine watakodisha ndege au blimp yenye ujumbe wa kuhamasisha utimuliwaji kazi mtu.To be continue...

Mkuu nakupa 100/100 kwa post hii. Unajua mpira kuliko wapenzi wote wa Manchester United wanaoshikika siku hizi.

rubaman ulisema kuwa mipira ya weekdays unakuwa upo busy kupatikana hapa {Najua Brussels anakaba mpaka kona ...mimi na wewe tunaelewana hizi codes}..... point yangu ni hii .... jumapili sio weekeday kwahiyo naomba uwepo hapa ututhibitishie maneno yako hayo

Timu ya Malafyale hata ukimuamsha kwenye usingizi Mata atatupia tuu, wala hakuna mtu anayoiongelea tena
 
Mpwa nitakuwepo hapa jamvini kwenu Jumapili,usinikimbie
 
Last edited by a moderator:
Mungu atusaidie tufunge tu maana kuna watu wanatamani sana tufungweee!!!

Wapo wengi sana ila ndio hivyo tena .. anayejua anajua tuu

Angekuwa ni kaka yako ungemsikia... hata nyinyi sasa mnayaogopa majogoo..... sisi hamna maneno mengi ni vitendo tuu uwanjani
 
Back
Top Bottom