kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
Sare na ushindi haya ni matokeo ambayo mtayapata!
City hapati sare kwetu, ni kweli hatopenda kupoteza mechi mbili mfululizo ila hatuna jinsi kwan tunazihitaji hizo points.
Sare na ushindi haya ni matokeo ambayo mtayapata!
Ni zaid ya petrol na spidi hii hamtumpiti hata kwa dawa ila mki draw na city tutawapongeza sana ila nawatakia mema muwafunge chelsea, liva nao wamfunge na arsenal tumfunge halaf a draw mech 1 Arsenal tunyanyue kombe kwa kushinda mech zote zilizobakia COYG
Huyo mdudu Cavan sisi pale Darajani hatutaki kabisa kumsikia lol!
....
....Tunatandika zote wengine wameanza kuchoka !!!
Nyanabhe........
....ha ha ha poti jamashiko !!!!
Duh! Ila mimi maombi yangu kwenye hizi mechi kubwa asipangwe.
Halafu gazeti la Daily Mirror limesema kwamba LVG yupo tayari kumuuza RVP na kumleta Cavan wa PSG. Kamchina kamegoma kuweka link, wadau mnalizungumziaje hili? Je Cavan ni chaguo sahihi kwetu?
Cc Nzi DonDonald kitwala RRONDO mfarisayo na #MUFC fans wote.
Kimahesabu tukimbutua Shitty jumapili atabaki akifukuza point 4, hivyo tutabaki tukimpigia mahesabu Gunners ambaye anajifanya gari lake kaweka petrol ya kutosha. Hebu jumapili njoo haraka ili mawazo yetu yahamie tarehe 18 april.
Majogoo yamewika Ewood Park
Najua kwa sasa hamna anayetaka kucheza na Majogoo ya Anfield
Majogoo yamewika Ewood Park
Najua kwa sasa hamna anayetaka kucheza na Majogoo ya Anfield
Hii timu hata hatuiwazii tena, tuko kwenye mipango ya kuhakikisha tunawapa kichapo Man Shitty, Wazee wa Bus, Everton na Gunners.
Wewe tulia tu maana habari yako ishafahamika.
Duh! Ila mimi maombi yangu kwenye hizi mechi kubwa asipangwe.
Halafu gazeti la Daily Mirror limesema kwamba LVG yupo tayari kumuuza RVP na kumleta Cavan wa PSG. Kamchina kamegoma kuweka link, wadau mnalizungumziaje hili? Je Cavan ni chaguo sahihi kwetu?
Cc Nzi DonDonald kitwala RRONDO mfarisayo na #MUFC fans wote.
Ehehehehe umfunge Man City,Arsenal na Chelsea?
Maajabu ya 9 ya dunia haya unayo ongelea
Majogoo yamewika Ewood Park
Najua kwa sasa hamna anayetaka kucheza na Majogoo ya Anfield