Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Last edited by a moderator:
Wanakaaa sana nyuma Aston Villa
Bao moja kwa beki ya Man U halitoshi, wakati wowote AV inaweza kufufuka na kumnyonya damu Shetani
Young out
Di maria in
Kocha kaua timu, sijaona mpira anaocheza Dimaria toka atue OT.