Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Hahahaaaaa nimekusamehe lol. Lkn najua na wewe unautaka ubingwa kwa sasa ingawa halisemwi hilo hadharani ndio maana unamfariji kaka yako.
Ww uliokolewa na refa baada ya Cahil kuusukuma mpira kwa mkono uliokuwa unaelekea wavuni
Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty!Usiwe mwepesi sana wa kusahau
BAK pale Anfield aliutafuta mpira kwa tochi
Hahahahaaa ukitaka usiboreke ingia Jf. Utafurahi sn......safi sn kaka.
View attachment 237833
Hahahahaha hii ligi itakuwa ni ya Chevloret Cup, lakini tofauti ni kuwa mnalicheza simultaneously na regular season. Afadhali Arsenal Emirates Cup inachezwa pre-season. Nyie kweli mmepinda, mnang'ang'aniza kubeba kombe hata liwe la kanyaboya.
Cc DonDonald, Nzi, Belo, Pazi, Malafyale,Wacha1,BAK, Mndengereko, Ntuzu, everlenk, Mfarisayo,Bulldog
Hahahaha!!! Tutamfanyia na function kabisa ya kumpa pole........
LOL!!! Hii tafrija inaweza kumsaidia afarijike haraka na kusahau maumivu makali ya kipigo. Muulize tumuandalie kinywaji gani. 🙂🙂
MMOJA
Hahahaha!!! Tutakaa kama kamati, shughuli yote unayo wewe pale Emirates kwahiyo usituangushe otherwise kibao kitakugeukia shughuli itakuwa kwako, nimeshawapa njia ya kula majogoo kazi kwenu kuyala tu.....
LoL! Kama kibao kikigeuka na sisi kupewa kichapo cha mbwa mwizi, nitasepa jamvini kama miezi miwili 🙂🙂 nikirudi msimu wa EPL umeisha na kelele za #wasagasumu na #mburukenge pia zimeisha 🙂🙂
LOL! Kuna yule msagasumu nambari one humu acha! Anaitwa Nzi anajua kuandika mambo ya kuudhi sana 🙂🙂
Majuto huwa ni mjukuu na nimehisi tukimuachia Falcao mwisho wa msimu huu itakuwa ni hasara kwetu, waweza kunikosoa ila uono wangu upo hivyo.....
Pale OT mpaka sasa mnyama huyu hajaanza kuunguruma japo anajitahidi sana kuturidhisha mashabiki na uongozi mzima wa club kwa kujituma kwake ila performance yake hii leo kwenye timu ya taifa imenifanya nisielewe kwanini hang'ari ndani ya jezi zetu....!!
*****
FT. Bahrain 0 - 6 Colombia
(Falcao akitikisa nyavu mara mbili)
Hutaki unaacha,mata the best midfielder so far.