BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hahahahahaha lol! 🙂🙂
Doh! Atakuwa mtoto wa nje huyu. Maana sina taarifa zake kabisa!
Doh! Atakuwa mtoto wa nje huyu. Maana sina taarifa zake kabisa!
Hahaha can't beat them make your own table and justifications.How the mighty have fallen.
Wakuu wote humu nawataarifu tu kwamba mwenzetu Nzi kapata mtoto humu anaitwa Mtoto wa nzi lol! Hizi ID za humu baadhi zinachekesha sana. Hongera Mkuu Nzi kwa kupata mtoto.
We've beaten arsenal,liverpool,tottenham...drew against Chelsea!
Hahahahaaaaaaa haki ya nani mtoto wa Nzi Bin Nzi lol.....
View attachment 237756
Hahahaha I meant on the table. You had to make your own table, set your own rules and put yourself on top. Nobody(FA, EUFA, FIFA, TFF,CECAFA,NBA,TABA etc) recognizes this 5 teams league. Kulaleki mambo yanaonekana yanakuwa magumu hadi mmeamua kutengeneza ligi isiyotambulika. Hapa tu mko nyuma point 2 toka nafasi ya 2, mkiikosa UCL itakuwaje? Mmekuwa Ze Comedi.
Dawa yako iko jikoni....nitakukumbusha!
Hutaki unaacha,mata the best midfielder so far.View attachment 237833
Hahahahaha hii ligi itakuwa ni ya Chevloret Cup, lakini tofauti ni kuwa mnalicheza simultaneously na regular season. Afadhali Arsenal Emirates Cup inachezwa pre-season. Nyie kweli mmepinda, mnang'ang'aniza kubeba kombe hata liwe la kanyaboya.
Cc DonDonald, Nzi, Belo, Pazi, Malafyale,Wacha1,BAK, Mndengereko, Ntuzu, everlenk, Mfarisayo,Bulldog
Sitaweza kujipa ban sababu sijafungwa kisoka bali ni technical problem
Siwezi jiondoa kwa sababu za technical problem kama zile za SG
Dada everlenk karibu sana Ikwiriri nikujazie gari yako matiki maji urudi nayo mjini
Hahahaha!! Kaka yangu bana! Hiyo hiyo technical problems ndo soka lenyewe, siku hiyo game haikuwa upande wenu tungeshinda tu hata kama mngekuwa 13.
Aiseee!! Hilo ni deal ati! ngoja nitafute gari nije, canter tan 3 itafaa kaka yangu?
Ulishindwa kufurukuta ndio kwako Mata akakupiga mbili peke yake ndio utaweza kufurukuta kwa BAK na kwangu?
Ww uliokolewa na refa baada ya Cahil kuusukuma mpira kwa mkono uliokuwa unaelekea wavuni
Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty!Usiwe mwepesi sana wa kusahau
BAK pale Anfield aliutafuta mpira kwa tochi