rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Kazi kweli kweli
Hii kitu sio kama Mkuu RRONDO kajitungia mwenyewe... hii niliona kuna siku za karibuni wanaizungumzia kwenye telly
Ingawa haina maana yeyote {kama kuna kombe au kushuka daraja} ila inaelezea hali halisi iliyoko, katika hizo timu zilizotajwa hapo kwa mechi zilizocheza zenyewe kwa zenyewe table yake inakuwa hivyo.
Hizi international games zinaharibu sana mambo, weekend hii ilikuwa tumfanyie kitu mbaya sana Aston Villa ila poa ataingia kwenye 18 week ijayo
Huna haja ya kum tag Pazi .... huyu jamaa baada ya yule jogoo aneyeumwa mdondo kuliwa na manyoya yale pale bandani kwake Anfield, jamaa anapatikana insta tuu ana post/support Cricket siku hizi {Mata mbaya sana kamfanya kijana abadilishe fani}
Hii ndizo opinions za Wanazi wa Man Utd, mnazidi kujipa moyo na farija kwa vitu visivyothibitishwa. Aliyeandika hii post(original) alikuwa ni mnazi wa United. Nipe link nicheke