Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa kaka naja.......

Kaka uwapige kabisa hao usiwahurumie hata kidogo..lol BAK na Ntuzu nisameheni bure jamani namfariji kaka yangu, lolz

Hahahaaaaa nimekusamehe lol. Lkn najua na wewe unautaka ubingwa kwa sasa ingawa halisemwi hilo hadharani ndio maana unamfariji kaka yako.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna shida mkuu....nimekuzoea ktk maneno yako.....

Lkn FA sheria zao zinawaruhusu kufatia matukio uwanjani na kutoa adhabu ata km mpira unapokua umeisha na refa alikua hajaona hilo tukio....kwanini huyo Cahill asiadhibiwe km alivoadhibiwa Skrtel na Costa?

Refa habanwi na sheria yyt ya kutotoa penalty wala kadi nyekundu sababu sio "Code of Conduct Violation"
 
BGdhdxLCEAAcuUB.jpg
 
Mbona haujamuweka "The Magician De Maria na namba yake 7 mgongoni?Unaogopa nn kumuweka hapo?

Ehehehehe £ Milion 60 zimeenda hivi hivi ehehehehe

Ana mwaka tu hivo hajawa ''legend'' bado.......hata Owen, Valenciana wengine wengi wamejaribu wamevaa hiyo jezi ila hawakufikia level ya kuwa ''legend''. Ni mila ya Club mkuu
 
Tumia basi akili zako hata kidogo chifu....Di Maria ndiyo kwanza hata msimu mmoja hajafikisha!

Halafu unataka awekwe kwenye lists ya legends?!?

Dah! Hata kama kuumia kutunguliwa na United ambayo ulijipa uhakika wa kuifunga, kumezidi.

Jikaze kianaume kama walivyofanya wenzako.

Kujitutumua sana humu, mwishowe utapasuka.
 
Anaye ujua akicheza mechi 10 tu kaharufu ka legend kanaanza kuwaingia wenye team

Suarez Barca harufu ya Legend ipo wazi kabisa

Sanchez wa Arsenal harufu ya Legend inanukia kabisa

Costa na Fabrigas wa Chelsea harufu inanukia

James Real Madrid and list goes on

Di Maria nae harufu ya kuwa legend inanukia ehehehehehe

What a waste!
 
Ana mwaka tu hivo hajawa ''legend'' bado.......hata Owen, Valenciana wengine wengi wamejaribu wamevaa hiyo jezi ila hawakufikia level ya kuwa ''legend''. Ni mila ya Club mkuu

Labda Di Maria nae atakuwa legend akitokea bench!Tumpe muda na benchi lake labda atafanya maajabu
 
Anaye ujua akicheza mechi 10 tu kaharufu ka legend kanaanza kuwaingia wenye team

Suarez Barca harufu ya Legend ipo wazi kabisa

Sanchez wa Arsenal harufu ya Legend inanukia kabisa

Costa na Fabrigas wa Chelsea harufu inanukia

James Real Madrid and list goes on

Di Maria nae harufu ya kuwa legend inanukia ehehehehehe

What a waste!

Hahahahaaa ukitaka usiboreke ingia Jf. Utafurahi sn......safi sn kaka.
 
That day in May 18, 1999 at the Nou Camp..........ManU 2 Bayern 1 the squad:

Waliosimama toka kushoto:

Peter Schmichel , Dwight Yorke, Andy Cole, Roony Johnsen,Jaap Stam na Ryan Giggs

Walio chuchumaa toka kushoto:

Jesper Blomqvist, Nicky Butt, David Beckham, Gary Neville na Denis Erwin

1999-Champions-League-Final.jpg
 
Anaye ujua akicheza mechi 10 tu kaharufu ka legend kanaanza kuwaingia wenye team

Suarez Barca harufu ya Legend ipo wazi kabisa

Sanchez wa Arsenal harufu ya Legend inanukia kabisa

Costa na Fabrigas wa Chelsea harufu inanukia

James Real Madrid and list goes on

Di Maria nae harufu ya kuwa legend inanukia ehehehehehe

What a waste!

Hizo ni mila za vilabu vingine. Pale Old trafford utaratibu ni mwingine kabisa! Usilazimishe mambo kaka. au unataka mmasai ajue kuvua ndio useme kabalehe? Sio mila yake uvuvi......
 
Back
Top Bottom