Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angempa tu Mata acheze, yeye kama team captain ana maamuzi ya kum assign mtu yeyote kufanya jambo flan ndan ya uwanja. Mata tayari alikuwa na goli 2 angepata hiyo chance angepiga hat trick kitu ambacho kingeongeza kitu flan kwake.

Yeah mimi binafsi ningependa kuona Mata anapata nafasi ya kufunga hat trick ndani ya Anfield ila ndio hivyo kila kit kina muongozo wake
 
Inaelekea Wewe utakuwa unamsikiliza na kuamini Robbie Savage sana.
Afadhali ya kumsikiliza Robbie kuliko Merson

Mbona Scholes anawachana sometimes Man Utd ila mbona watu hawalalamiki?

Mersona kaweka unazi mbele sana, ana chuki kubwa na Man Utd
 
OK mi huwa naangalia za united tu! Huyu hata game zetu home na timu kama Sunderland atatabiri draw?!! Are we that bad?! Two points from second spot!!
HAHAHAHAH kweli kabisa dah huyo jamaa sijui Utd walimkosea nini?
 
Yetu 31, nyie 27. Tumefunga 58 nyie 52

Na hio tangu msimu unaanza man utd defence was better than most top six teams yet it was and it is the one criticized! Umesikia wakiwasema mabeki wa man city,liverpool au arsenal?!! They are far worse than Smalling and company! According to stats
 
Afadhali ya kumsikiliza Robbie kuliko Merson

Mbona Scholes anawachana sometimes Man Utd ila mbona watu hawalalamiki?

Mersona kaweka unazi mbele sana, ana chuki kubwa na Man Utd

Scholes ni mnazi kupindukia kuliko Merson. Merson anamkritsaizi Wenger mara kibao sijawahi kusikia Scholes akifanya hivyo kwa LVG. Sema Merson si predictor mzuri. Niliacha kusoma predictions za Merson kwa muda mrefu sasa . Lately Scholes amekuwa very critical kwa Arsenal hata tunapocheza vizuri.
 
Na hio tangu msimu unaanza man utd defence was better than most top six teams yet it was and it is the one criticized! Umesikia wakiwasema mabeki wa man city,liverpool au arsenal?!! They are far worse than Smalling and company! According to stats

Inaweza kuwa Merson bado yupo katika enzi zile mlipokuwa mnajigongagonga Mr. Vs Leicester City, Swansea city, I mean mwanzoni mwa ligi. CB wenu walikuwa hovyo kuliko sasa.
 
Robie Savage ni ex-united but yuko fair sana huwezi mlinganisha na Merson

Savage juzi alikuwa anawacriticize wachezaji wa City kwa kucheza fouls ndogo wakati enzi zake (Savage )alikuwa big la mcheza foul, huyo ndo unamwita fair? Anyway post yako inadhihirisha unawamba ngoma ...
 
Yupo fair kwa kusema ukweli. Kama unazungumzia uchezaji wake zamani that's a different matter!
 
Reactions: Nzi
Anaugulia maumivu hajiwezi.
Walijipa matumaini makubwa sana hawa watani zetu, matokeo yake wamelowa vibaya.
Tuwape pole tu kama ilivyo kawaida yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…