Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Hizi subs leo...ila Rojo alikuwa na yellow..
by the way dimaria ilibd atolewa zamani coz alitoka mchezoni na alipoteza confidenceHivi ile first half si kadi alipewa Herrera ama?
Conclusion:lvg kachemka kufanya sub hasa ukizingatia kwamba carick katoka majeruh
Mara ya kwanza kwenye stats waliandika Di Maria kisha wakachange akawa Herrera nashangaa tena Di kupewa red....
Jamani leo mbona mvua ya kadi hivyo!!!
Walipewa wote wawili
waswahili kwa kujitoa Ufahamu!!
wanajifanya hawaelewi ile RED ya Di Maria!!!
Asante ndugu yangu wacha nao leo waweke rekodi hata hivyo tumewatesa sana,zamu yao kutesa,refa wa leo wamkumbuke katika ufalme wao.....
Dah kufungwa na Arsenal aibu kubwa sana
unasemaje mkuu?
lvg unamshkuru kwa lipi?Asante LVG
Asante Refa
GGMU
Dada team yako ni mbovu!Hata mngepata replay leo bado Emirates mngetolewa tu na kumbuka huwezi kubahatisha kila game
Refa alikuwa fair tu michezaji inacheza uyadhani imekula urojo mingine inajiangusha tu bila sababu pumbavu lvg out leta kocha mwingine
DonDonald msg imetimia sio. Nilisema ukiona jua linazama ujue mwanzo wa siku mpya unafuata. Haya huu ndio mwanzo na mwisho wa "uteja".
Nzi, Belo, Mfarisayo, RRONDO
lvg unamshkuru kwa lipi?
kocha yupi mkuu? tunahitaji kocha mwenye uchu wa hindi kama Simeoni, Gardiola au the special one. LVG anachosha anaona gemu imetuelemea bado hafanyi sub nzuri.