Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona vijana wanafurahi ushindi wa kindondokela kwa mara nyingine tena. Nimesoma report ya mechi inasema Dada Maria bado adhihirisha kuwa Real Madrid ni watoto wa mjini kwa kuuzia watu "kanyaboya". Inaelekea mioyo ilikuwa inakaribia kuchomoka kwa presha na hofu ya kudondoka toka top 4 . Anyway, shangilieni kwa just another few weeks Liverpool wanakuja kuchukuwa nafasi ya 4, then mtagombania Europa League spots vs kina Spurs na Saints .

PS- Kama nilivyosema awali, midweeks games nitaendelea kuzikosa. Nitakuwa nakuja kusoma jinsi #wakaangasumu na #mburukenge mnavyochonga. Viva Arsenal.
DonDonald, Nzi, Malafyale, Belo, Mbu, BAK, RRONDO,Pazi

Acha kueweweseka! Nafasi ya kwanza mpaka ya ishirini hazina mwenyewe! Tatizo mmezoea nafasi ya nne kabla ya ligi mnaota kuwa wanne tu!
 
Tunasubiri hadi dakika ya 90 kwa Newcastle?
Week ijayo na Totenham then mtakuja.kwa Majogoo then mtacheza na Arsenal;Chelsea na Everton

Mechi hizi zilizofuatana hata kocha wenu LVG anajua hamtapata matokeo mazuri

Wiki ijayo jumsatatu tarehe 9 tunacheza na arsenal FA cup, halafu wiki ingine ndio tunarudi kwenye ligi!

BTW man utd. GF 47. GA 26 PTS 53
Liver. GF 43. GA 30 PTS 51

Ndugu nimekuzidi kila kitu #LeagueTableDoesntLie
 
Nafasi ya nne mnaweza mkaondoka mkuu akaja Spurs maana ana mchzo mmoja mkononi hajacheza na mnakutana nae hivi karibu.
 
Attachments

Mwisho unakuja kwa mipango na sio wishes! Nyinyi Hamna mipango!

Mkuu ratiba yenu ni ngumu sn mpk ligi inaisha lkn kitu kizuri ni kwamba ata anaewasumbua LFC na yeye ratiba yake ni ngumu sn na kuna viwanja viwili akitia maguu LFC lazima afungwe. Akija darajani na kwao Gunners.
 
Nafasi ya nne mnaweza mkaondoka mkuu akaja Spurs maana ana mchzo mmoja mkononi hajacheza na mnakutana nae hivi karibu.

Tuseme Spurs kashinda hio game take,atsakuwa na 50pts kwahio bado three points. Anakuja kwetu lazima tumfunge,Spurs Ana nsafasdi kubwa kumpita Liverpool ila sio sisi
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu ratiba yenu ni ngumu sn mpk ligi inaisha lkn kitu kizuri ni kwamba ata anaewasumbua LFC na yeye ratiba yake ni ngumu sn na kuna viwanja viwili akitia maguu LFC lazima afungwe. Akija darajani na kwao Gunners.

Ratiba ngumu na hao wanaokutana na sisi wanajua ugumu wake,arsenal anakuja OT,spurs wanakuja OT,city anakuja OT mechi ninayoona ngumu no Liverpool away!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Tuseme Spurs kashinda hio game take,atsakuwa na 50pts kwahio bado three points. Anakuja kwetu lazima tumfunge,Spurs Ana nsafasdi kubwa kumpita Liverpool ila sio sisi

Mnahitaji kubadilika ndio mumfunge Spurs lkn km mtasubiri mpk Brown apewe kadi nyekundu ndio muanze kufunga au magoli ya lala salama ya Young spurs itawasumbua sn.

Ratiba ngumu na hao wanaokutana na sisi wanajua ugumu wake,arsenal anakuja OT,spurs wanakuja OT,city anakuja OT mechi ninayoona ngumu no Liverpool away!

Naona umeitaja game ya away na LFC tu umesahau unatakiwa kuja DARAJANI KWA MOU......teh teh teh teh au Mou wamchukulia mteja tu kwenu km Wenger....Lol!
 
Tuseme Spurs kashinda hio game take,atsakuwa na 50pts kwahio bado three points. Anakuja kwetu lazima tumfunge,Spurs Ana nsafasdi kubwa kumpita Liverpool ila sio sisi

Man U hii amfunge Spurs?

Mpira sio bahati nasibu nyie watu!Mwenye kiwango bora anashinda tu na Spurs ana kiwango zaidi ya Man U

Anakusumbua huyu Manager-less and Tiote-less Newcastle wanao mchezesha hadi mchezaji mwenye kansa ndiyo iwe Spurs?

Spurs anakuchapa,unakuja Anfield unajua hata ww kama utachapwa
 
Spurs ana kiwango kama chako. Sio size yetu gombania nae nafasi ya sita!

#LeageuTableDoesntLie
 
Ratiba ngumu na hao wanaokutana na sisi wanajua ugumu wake,arsenal anakuja OT,spurs wanakuja OT,city anakuja OT mechi ninayoona ngumu no Liverpool away!

kwan hapo OT watu hawajichukuliagi point tu au
 
Back
Top Bottom