Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe ndio sababu siku nyingine huwa una hasira za kutisha unakuwa umepigwa mtaani na umepigwa EPL, leo shukuru Mungu almanusra. Hongereni kwa ushindi humu sasa mtaelewa mkiambiwa mpira ni dakika 90.

Nimekosa mechi mpaka dakika ya 80...kufika kukaa kidogo, dk. 9 badae Ashley kafanya yake...

Dah! Nimefurahi kuliko kawaida...maana nimetoka kwenye ligi ya soka ya mtaani, timu ninayochezea tumepigwa goli 6-0! Kwahiyo ushindi wa leo umenitoa machungu 😀

Ushindi leo ulikuwa muhimu kuliko maelezo, maana wakaanga sumu wote wameshinda, wangejaa humu kama nzige kwenye shamba!

Sasa wanaugulia uchungu kimya kimya 🙈🙈🙈
 
Ashley Young kawaharibia sana watu siku yao....

Yaani fanya yote usije ukaukosa mpira wa tarehe 9 ili uone ni jinsi gani goons walivyo loyal kwa Utd
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Bora hukuwepo mwanzo maana......yote tisa kumi kuliko zote ni 3 points.
 
Kumbe ndio sababu siku nyingine huwa una hasira za kutisha unakuwa umepigwa mtaani na umepigwa EPL, leo shukuru Mungu almanusra. Hongereni kwa ushindi humu sasa mtaelewa mkiambiwa mpira ni dakika 90.

Hongera sana na wewe ila hata nawe QPR amekusumbua kiasi fulani ila naona kipindi cha pili mkamuweka sawasawa........nilikuwa najisemea mimi leo Uso wangu ntauweka wapi mbele ya BAK kwikwikwikwi!!!!! Next Loh............!!!ni mimi au wewe?????
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe. Kumbe timu za Man Six zipo nyingi eh?

Acha kabisa...ni ligi bana..leo ilikuwa game ya 1, tumecheza na mabingwa wa mwaka jana...timu yetu tulikuwa hatujafanya mazoezi pamoja..basi tukawa tunakimbiakimbia tu...uzuri ni indoor football, hivyo subs ni kama basketball tu....

Kundi lina timu 7, hivyo bado tuna mechi 5 nyingine, tukifanya matizi tutapita..kwani kila kundi linatoa timu 3 katika 7...
 
Kumbe ndio sababu siku nyingine huwa una hasira za kutisha unakuwa umepigwa mtaani na umepigwa EPL, leo shukuru Mungu almanusra. Hongereni kwa ushindi humu sasa mtaelewa mkiambiwa mpira ni dakika 90.

Kumbuka United katika mechi 22, kapoteza 2 tu pamoja na performances za tia maji tia maji...
 
Wakuu hongereni kwa ushindi wa taabu maana ka-Liverpool kanakuja kwa kasi nyuma yenu.....

cc: Nzi RRONDO etc all.

Asanteeee sana Ntuzu ila na wewe leo njia yako ilikuwa na miiba kama yangu.......hongera kwa kupita salama.

Wazee wale walikuwa wameshajihakikishia nafasi ya nne hadi wanapongezana.
 
Last edited by a moderator:
Ashley Young kawaharibia sana watu siku yao....

Yaani fanya yote usije ukaukosa mpira wa tarehe 9 ili uone ni jinsi gani goons walivyo loyal kwa Utd

Mpira wa United vs. Arsenal sijawahi kukosa toka nianze kushabikia soka...Mungu akinipa uhai sitaukosa huo...

Uzuri ni wateja wetu...wao wanajua hilo..hivyo watakuja na presha za kufuta uteja...kama kawa tunawapiga makaunta, game over...

Cc: Mbu BAK rubaman
 
Last edited by a moderator:
Asanteeee sana Ntuzu ila na wewe leo njia yako ilikuwa na miiba kama yangu.......hongera kwa kupita salama.

Kwangu mimi haikua shida sn coz hao vijana wa Big Sam niliwakamata vzr sn tu.
 
Last edited by a moderator:
Mpira wa United vs. Arsenal sijawahi kukosa toka nianze kushabikia soka...Mungu akinipa uhai sitaukosa huo...

Uzuri ni wateja wetu...wao wanajua hilo..hivyo watakuja na presha za kufuta uteja...kama kawa tunawapiga makaunta, game over...

Cc: Mbu BAK rubaman

Hahahaaa nyie uaneni tu.....mi najikokomelea kileleni.
 
Last edited by a moderator:
Acha kabisa...ni ligi bana..leo ilikuwa game ya 1, tumecheza na mabingwa wa mwaka jana...timu yetu tulikuwa hatujafanya mazoezi pamoja..basi tukawa tunakimbiakimbia tu...uzuri ni indoor football, hivyo subs ni kama basketball tu....

Kundi lina timu 7, hivyo bado tuna mechi 5 nyingine, tukifanya matizi tutapita..kwani kila kundi linatoa timu 3 katika 7...

Hata goli la offside hamkufunga? Unachezaga Futebol de salao nini?
 
Jamani mlale unono na wale ambao kwao bado mchana muwe na siku njema ,leo kwa raha zangu...... uhispania raha Uingereza raha zaidi....
 
Wewe acha tu!!! Kina YNWA walikuwa wameshaanza kupeana five kwamba nafasi ya nne ni yao,leo ungekoma na bet zako ulizoweka,Lol
Nzi hivi yule jamaa aliweka bet ?
Yatakuwa maajabu Liver akimaliza juu ya Utd...

Ohh alikuwepo hapa kabla ya game na story za uwanja wa St James Park ni noma...
 
Last edited by a moderator:
Jamani mlale unono na wale ambao kwao bado mchana muwe na siku njema ,leo kwa raha zangu...... uhispania raha Uingereza raha zaidi....

Usiku mwema. Lala salama.

dailyfix0528b_D_20090528100759.jpg
 
Back
Top Bottom