BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
LoL! Yaani nilikuwa naomba Mungu mtoe hata draw nilikuwa nimewakamia leo hasa wewe lakini ah! Mungu si Athumani dua la BAK haliwapati MANU 🙂🙂 ungelia leo maana ningekesha jukwaani kwenu halafu ningekuomba samahani kwi kwi kwi kwi kwi lol! Naimagine furaha zenu baada ya yule mtu wa kujirusharusha AKA Ashley Young kuziona nyavu.... Hongereni sana bado mnataka kula sahani moja na sisi.
Hongera sana na wewe ila hata nawe QPR amekusumbua kiasi fulani ila naona kipindi cha pili mkamuweka sawasawa........nilikuwa najisemea mimi leo Uso wangu ntauweka wapi mbele ya BAK kwikwikwikwi!!!!! Next Loh............!!!ni mimi au wewe?????