Naam Shekhe Nzi our deal is ONHuyo anajiongelesha tu...mimi nimemwambia tubet, yeye anarukaruka tu..
Nimewaambia loserfool wakimaliza juu ya United, natoa US$ 100 kwa jukwaa lao...
Kuna ndugu anaitwa Janjaweed akaokoa jahazi kwa kubet nami US$ 100...nikamwambia deal..
Asije akajitundika huyu jamaa
Huyo anajiongelesha tu...mimi nimemwambia tubet, yeye anarukaruka tu..
Nimewaambia loserfool wakimaliza juu ya United, natoa US$ 100 kwa jukwaa lao...
Kuna ndugu anaitwa Janjaweed akaokoa jahazi kwa kubet nami US$ 100...nikamwambia deal..
Eti kimenuka kati ya hawa wawili au ni rumours tuu?

Kwa kiwango hiki chenu Majogoo yanamaliza game kipindi cha kwanza tu
Team yenu kila game wao wanabahatisha tu!Ktk games zao 10 sijaona hata moja waki command lead
na hio game vs nyinyi tutabahatisha tena!
Nenda Kule jukwaa lao kuna mtu ameamka na sisi Mimi nimepita kimya kimya maana nikaona nikimjibu hawachelewi kuwaka