Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

DonDonald nilitaka nikuache peke yako hapa maana niliona ni kichwa kinauma tu......Duh thank you God doesn't matter only 3 points
 
Last edited by a moderator:
Watu8 leo ilikuwa hali si hali wale wazee wamemchapa Burnley,washika bunduki nao wameshinda Loh!! Wangetunyanyasa sana....
 
Last edited by a moderator:
DonDonald nilitaka nikuache peke yako hapa maana niliona ni kichwa kinauma tu......Duh thank you God doesn't matter only 3 points

Lol ilikuwa hatari .... wapinzani wetu wote walikuwa wanaongoza/wameshinda.... sisi tusingeshinda ingekuwa hatari maana watoto wa mtaa wa pili wangejaa hapa kushadadia.... ila Mungu mkubwa na ukiwa unaujua unaujua tuu
 
Last edited by a moderator:
Watu8 leo ilikuwa hali si hali wale wazee wamemchapa Burnley,washika bunduki nao wameshinda Loh!! Wangetunyanyasa sana....

Na tuna mechi ngumu sana zijazo...ushindi ilikuwa ni lazima
 
Last edited by a moderator:
Nimekosa mechi mpaka dakika ya 80...kufika kukaa kidogo, dk. 9 badae Ashley kafanya yake...

Dah! Nimefurahi kuliko kawaida...maana nimetoka kwenye ligi ya soka ya mtaani, timu ninayochezea tumepigwa goli 6-0! Kwahiyo ushindi wa leo umenitoa machungu 😀

Ushindi leo ulikuwa muhimu kuliko maelezo, maana wakaanga sumu wote wameshinda, wangejaa humu kama nzige kwenye shamba!

Sasa wanaugulia uchungu kimya kimya 🙈🙈🙈
 
Back
Top Bottom