Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha fiksi wewe Loserfool....kabla ya 1992, Uingereza kulikuwa hakuna Ligi Kuu (Premier League). Kulikuwa na ligi katika madaraja mbalimbali: la kwanza, pili, tatu na kuendelea. Mwaka 1992 ndipo baadhi ya vigogo wa soka Uingereza katika ngazi ya vilabu na FA wakakubaliana kuanzisha LIGI KUU, na kuzipandisha madaraja ligi za chini: yaani ligi iliyokuwa daraja la pili, ikawa ligi daraja la kwanza (Championship League ya sasa).

Hivyo basi, kimsingi Loseefools haijawahi kushinda LIGI KUU (Premier League); ina makombe yake 18 ya Ligi Daraja la Kwanza tu.

Fiksi au umbumbumbu?
Majority ya mashabiki wa EPL hawajui tofauti ya Premier League Vs the old First Division, ndio maana wanatoa kauli za kitoto kama hizo.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Fiksi au umbumbumbu?
Majority ya mashabiki wa EPL hawajui tofauti ya Premier League Vs the old First Division, ndio maana wanatoa kauli za kitoto kama hizo.

Tunaita ushabiki maandazi Mkuu.....are two different leagues....by miles
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
long ball utd kawaida yenu kocha wenu mwenyewe chizi tangu lini striker namba 9 akawa DM kumbe na mashabiki wake wapo hivyo hivyo

Halafu wewe ndio unauliza watu we man utd wanafuata mini kwenye thread 'yenu' na wewe unatafuta nini huku? Wewe sio MTU wa Moira ni shabiki mandazi
 
Halafu wewe ndio unauliza watu we man utd wanafuata mini kwenye thread 'yenu' na wewe unatafuta nini huku? Wewe sio MTU wa Moira ni shabiki mandazi

hahah baada ya kuona hawa long ball utd wanakuja sana kwenye thread yetu kutupondea nimeamua ku pay back
 
hahah baada ya kuona hawa long ball utd wanakuja sana kwenye thread yetu kutupondea nimeamua ku pay back

You will be surprised zikiwekwa stats Liverpool ndio wanaweza kuwa long ball merchants zaidi ya united,so uliuona data zilivyomuumbua Sam allardyce,yeye ndio alianzisha bio issue
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Attachments

  • 1424112878748.jpg
    1424112878748.jpg
    88.3 KB · Views: 113
United:-De Gea Valencia Smalling Rojo Shaw Blind Herrera Rooney Fellaini Di Maria Falcao. Subs:-Valdes, Evans, McNair, Young, Januzaj, Mata, Wilson.

Preston: Stuckmann, Clarke, Huntington, Wright, Laird, Humphrey, Welsh, Kilkenny, Gallagher, K.Davies, Garner.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom