Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni upuuzi kuwapanga Van Persie, Falcao, Di Maria na Januzaj kwa pamoja kwani hawa wote hawana msaada kwenye kukaba hivyo kumfanya namba 6 kuumia kukaba peke yake na Rooney kurudi nyuma zaidi kusaidia kukaba hivyo kiungo kinakosa ubunifu wa kutengeneza nafasi na kutoa mwanya kwa timu pinzani kushambulia kirahisi
 
10422374_10152768364252746_3382039055073235298_n.jpg
1779063_10152768364257746_8097263385296883517_n.jpg
10806325_10152768364267746_4858682197204931336_n.jpg
 
Huyu Januzaj alipaswa kupelekwa kwa mkopo,anapoteza sana mpira
 
tim haikab uwez kuwachezesha falcao van p januzaj na di maria kwa wakat mmoja
 
Evans,smalling,falcao,januzaj wanaharibu timu

Afadhali hata Januzaj kidogo ana anafuu leo japo anapiga chenga ambazo hazina msaada kwa timu Evans ni tatizo kubwa, Falcao naye apumzishwe tu simlaumu sana mfumo nao ni tatizo hakuna watu wa kumtengenezea nafasi nzuri
 
Si umeona sub...wote RvP na Falcao wamekuwa na game mbaya, lakini anayetolewa!!!
 
Afadhali hata Januzaj kidogo ana anafuu leo japo anapiga chenga ambazo hazina msaada kwa timu Evans ni tatizo kubwa, Falcao naye apumzishwe tu simlaumu sana mfumo nao ni tatizo hakuna watu wa kumtengenezea nafasi nzuri

Zee linapigaga neno lake "philosophy" .....sioni philosophy yoyote wala mfumo wowote wa kueleweka....he need to sort some things maana duh
 
Back
Top Bottom