Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LooserFools ni timu ya kawaida sana...siwezi kupoteza muda kuidiscuss
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hata sijui Evans alikwenda wapi na papara zake? Tunafunga magoli magumu lakini sisi tunafungwa magoli rahisi kabisa.
Ova
 
Kocha anamchosha sana Blind kwenye kukaba kiungo, Fellain na Herrera ni msaada mkubwa kwake kumsaidia kukaba
 
Leo tena LvG kachemka kupanga timu....McNair atachezaje mbili wakati kuna Antonio na Rafael!!
 
Aiseee Falcao ataanza kuzomewa sasa, jamaa mpira haukai mguuni kwake!!
 
aaarrrghh VAN GAAL ndo nini sasa umepanga.?? sitoshangaa kufungwa leo hii...
 
Yani kocha anachemka kweli kwenye kupanga timu ni afadhali turudi kwenye majeruhi wengi ndo anakua na akili ya kupanga timu wachezaji wengi wakiwa fit wanamchanganya kuchagua
 
Back
Top Bottom