Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

10991177_10152768492457746_62546991341861424_n.jpg
 
FT 3-1 to United...an ugly win, but I will take it 😀

Ohh!! Afadhali ,jana nilikuwa choka mbaya sikucheki game,asanteni sana mlituwakilisha vyema hapa jukwaani,hongera yetu sote,Viva The United!!!!
 
Huyu van gaal inabidi abadilike maana kuangalia mechi ishakua issue siku hizi maana performance inabore mbaya
 
hahahaha hili timu ni tia maji yani ungaunga mwana na mwezi march ndo mwezi wenu wa kupigwa na kutoka top four ur team is shit kwa yeyote anaejua football analysing anatambua hilo
 
hahahaha hili timu ni tia maji yani ungaunga mwana na mwezi march ndo mwezi wenu wa kupigwa na kutoka top four ur team is shit kwa yeyote anaejua football analysing anatambua hilo

Kwa yeyote anayejua football/soccer then anajua kuwa anything can happen. Nakuhakikishia huo mwezi March tutaanza kusema kwanini haikuwa hivi toka mwanzo.
 
hahahaha hili timu ni tia maji yani ungaunga mwana na mwezi march ndo mwezi wenu wa kupigwa na kutoka top four ur team is shit kwa yeyote anaejua football analysing anatambua hilo

Hahaha haters bana

Do you know that we've gone 18 games with just single defeat?

Ni kweli hatuchezi katika ubora wetu but we are grinding out results.....utangoja Sana tu-drop March
 
hahahaha hili timu ni tia maji yani ungaunga mwana na mwezi march ndo mwezi wenu wa kupigwa na kutoka top four ur team is shit kwa yeyote anaejua football analysing anatambua hilo

Hivi hivi utakua unahesabu point tutu zikipungua basi moja..timu yangu nakubali haiko katika kiwango cha kubeba BPL but to finish top 4 hiyo ni guarantee spot swali la kujiuliza kati ya Southampton, west Ham, Tottenham na arsenal nani atakamilisha top 4
 
hahahaha hili timu ni tia maji yani ungaunga mwana na mwezi march ndo mwezi wenu wa kupigwa na kutoka top four ur team is shit kwa yeyote anaejua football analysing anatambua hilo
Soka haliko hivyo...utashangaa Arsenal haikumbuki lini imeifunga Man U lakini Arsenal hiyo hiyo inaifunga Man City 2-0 Etihad.

Nani alitegemea Hull City juzi kati kuizindia Man City tena Etihad, Tokea enzi ya Ferguson hakukuwa na falsafa ya soka la kufurahisha watu macho lakini vikombe vimejaa kabatini, heshima na fedha watu wanapiga kama kawaida. Na ndipo hapo utashangaa hizo mechi ngumu unazozitaja wewe zikawa daraja la Man U kukwea kileleni.
 
Hahaha mtani ulijikimbia kisa hamna udambudambu.... ila pointi tatu muhimu.
Hongera kwa smalling kwa kuwabeba

Hahahaha!!!! hapana siwezi kukimbia mi ni shabiki damu japokuwa hatuna ule ubora wa enzi za SAF lakini naamini we can make it na tutawashangaza wengi maana mnatazamia tutaanguka hasa katika mechi ngumu zilizopo mbele yetu, ni Van Gaal arekebishe mfumo wake tu ili kila mchezaji acheze position yake inayotakiwa vijana bado wakali ni wachache tu ndo wanaangusha na wengine wanaonekana butu kutokana na kucheza position ambazo si zao.
 
Narudia tena kwa yeyote anaejua football analysing atakubaliana na mimi in football there is no short cut huwezi kujenga timu kwa msimu mmoja hata unune mastaa tupu tumeona hilo baada ya real madrid ya galacticos kufa imewachukua miaka mingi sana hadi kurudi on track na ela zao zote wakaleta kina beckam ila wakadunda na nyie muelewe tu short cut is always a wrong cut mark my words man utd haitakuwepo top four hamna uwezo wa kumpiga spurs ya sasa hivi,chelsea anawapiga,man city anawapiga,everton hakuachi, liverpool pale anfield navyoona liverpool ya sasa mtajuta, labda mtamuonea arsenal tu sasa out of 20 possible points lazima mdrop around 12 points mpira hauna short cut bwana jengeni timu kwa faida ya miaka mitatu nitano ijayo naruduia tena short cut is always a wrong cut jifunzeni kwa juventus walitulia wakajenga timu saivi skudeto wanajibebea tu
 
Hahahaha!!!! hapana siwezi kukimbia mi ni shabiki damu japokuwa hatuna ule ubora wa enzi za SAF lakini naamini we can make it na tutawashangaza wengi maana mnatazamia tutaanguka hasa katika mechi ngumu zilizopo mbele yetu, ni Van Gaal arekebishe mfumo wake tu ili kila mchezaji acheze position yake inayotakiwa vijana bado wakali ni wachache tu ndo wanaangusha na wengine wanaonekana butu kutokana na kucheza position ambazo si zao.

Hahaaaa mtani umeji-defend kwa hako kaubovu ngoja me niendelee kufanya maombi madogo madogo siunajua adui muombee njaa teeeehe teeeehe
 
Van Gaal anatakiwa kuangalia upya tacts anazotumia kwa kweli jana tulishinda lakini kiwango kilikuwa kibaya siapata kuona.
 
Back
Top Bottom