Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man United fans want to see Ander Herrera introduced to add a bit of calmness on the ball to the side.
 
kwanini rooney acheze midfield na kuna herrera na fellaini?! tukishafungwa ndio atapanga timu inavyostahili

Hapo ndio huwa namkubali SAF alikuwa anajua kupanga line-up kutokana na opponent anayecheza nae,Mimi nasikitika tu Herrera anakaa benchi nahisi atakuja kuondoka
 
West-Ham-v-Manchester-United.jpg
 
kwanini rooney acheze midfield na kuna herrera na fellaini?! tukishafungwa ndio atapanga timu inavyostahili

Hii yote ni kumpanga RvP...sema ukweli RvP anapaswa awe anaanzia bench ili Rooney acheze 10, Falcao 9..hapo Herrera atakaa kati na Blind huku DM akiwa kama winger katika wings zote...

Anyway, kocha ndiye mwamuzi, ingawa naye ni binaadamu tu..
 
Man United fans want to see Ander Herrera introduced to add a bit of calmness on the ball to the side.

rooney is not a midfielder ander herrera should play i dont know what LVG is thinking!!
 
Hii yote ni kumpanga RvP...sema ukweli RvP anapaswa awe anaanzia bench ili Rooney acheze 10, Falcao 9..hapo Herrera atakaa kati na Blind huku DM akiwa kama winger katika wings zote...

Anyway, kocha ndiye mwamuzi, ingawa naye ni binaadamu tu..

ni kweli anang'ang'ania RVP acheze wakati ilitakiwa akae benchi kama ulivyosema
 
Maana RvP na Falcao yaani hawaendani kabisa...hawana chemistry kabisa..

Ni bora RvP atoke na aingie dogo Wilson, dogo ana pace, hivyo yeye, na DM wataipa presha sana backline ya West Ham..

Januzaj apumzike, Fellaini au Mata aingie..Januzaj anapoteza mipira..
 
nawasikiliza pundits hapa wanasema rvp atoke aingie fellaini then di maria na januzaj waende wide falcao center rooney kwenye tip ya diamind fellaini na blind nyuma ya rooney....simple
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Maana RvP na Falcao yaani hawaendani kabisa...hawana chemistry kabisa..

Ni bora RvP atoke na aingie dogo Wilson, dogo ana pace, hivyo yeye, na DM wataipa presha sana backline ya West Ham..

Januzaj apumzike, Fellaini au Mata aingie..Januzaj anapoteza mipira..

so far timu inashinda kwa uwezo wa wachezaji huyu LVG anawavuruga tu
 
Maana RvP na Falcao yaani hawaendani kabisa...hawana chemistry kabisa..

Ni bora RvP atoke na aingie dogo Wilson, dogo ana pace, hivyo yeye, na DM wataipa presha sana backline ya West Ham..

Januzaj apumzike, Fellaini au Mata aingie..Januzaj anapoteza mipira..

Kweli Falcao na RVP hata pasi hawapeani,msimu ujao mmoja lazima aondoke.Hii game ya nguvu haimfai kabisa Januzaj anapoteza mpira na hajui kukaba,team selection na formation za LVG zinafeli kila week
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
​Khe Khe Khe kheeeeeeeeeee Fukuza LVG

Back
Top Bottom