Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kufukuzwa ukocha sio ajabu, kote huko alichukua ubingwa (Bayern,Barca) alisaidia kuwapa nafasi wachezaji chipukizi hadi leo wanamkumbuka.Anceloti,Morinyo,Benitez pia wamewahi kufukuzwa kazi

Lkn mkuu chipukizi alio wakuta Bayern na Barca sio kama hawa akina Blackett na Wilson uozo mtupu

Kule aliwakuta akina Muller na Badstuber wenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira
 
Asante sana kaka walitusumbua ile mechi ya mwanzo jana wamebana lakini wakaachia.

Lkn dada na wenzako akina Belo Nzi na RRONDO msishangae kwa nn Di Maria alikuwa anakwenda kasi wakati yupo Madrid na sasa kasi hiyo imepungua hapo kwenu

Sababu ilikuwa kule Madrid akipiga one two na CR7 au na Krooas au na Bale mpira unamfikia akiwa angle nzuri sababu umeguswa na wataalam

Sasa kweli one two na Fletcher kweli atafika?
 
Last edited by a moderator:

do you have any stats to back up your claim???
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Lkn mkuu chipukizi alio wakuta Bayern na Barca sio kama hawa akina Blackett na Wilson uozo mtupu

Kule aliwakuta akina Muller na Badstuber wenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira

basi inabidi umvulie kofia LVG maanake pamoja na huo uozo kakupiga 3-0!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nipe takwimu kuhusu ulichosema. unajua takwimu??

Anayejua soka ukimuambia kuwa mcheAji fulani aliupiga hadi akawa Man of the Match tena CL fainal wala haitaji stats!

Kuwa tu Man of the Match CL fainal tells you something special

Case clossed buddy tuongee mengine
 
afadhali tuendelee kupiga porojo.
 
Malafyale una stress za nini ndugu? Taratibu ndugu yangu...

Vipi, Blandina saivi kawa mtamu kama mcharo? Naona mnampa sifa kedekede! Timu ipo kamili sasa, au siyo?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha wakati mwingine RRONDO angalia na aina ya mtu wa kubishana nae huyu si level yako we mwache abwabwaje mwisho wa siku atanyamaza mwenyewe.

ha ha ha ha Malafyale ndugu yangu huyu hanisumbui kichwa ndio maana mwisho nikamwambia basi tupige porojo maanake stats/data hana.
 
Last edited by a moderator:
Red Devils wenzangu,leo ni siku ya kumbukumbu ya Munich Air Disaster ambayo ili wipeout almost entire man utd squad kasoro wachache tu akiwemo Sir Bobby Chalton,tuwaombee marehemu wote ameen....

MUNICH REMEMBERED

714BB32C4EAA4C70AFDED74BCE0C3818.ashx
,

The darkest day

February 6th will forever be circled on the calendars of everyone connected with Manchester United.

On that day in 1958, the darkest day in United's history, 23 people - including eight players and three members of the club's staff - suffered fatal injuries in the Munich air crash.

Flying back from a European Cup tie against Red Star Belgrade, the team plane stopped in Germany to refuel. The first two attempts to take off from Munich airport were aborted; following a third attempt, the plane crashed.

Twenty-one of the people on board died instantly. Aeroplane captain Kenneth Rayment died a few weeks later from the injuries he sustained while Duncan Edwards - one of the eight victims from the team - passed away 15 days after the crash. The tragedy is an indelible part of United's history, as is Sir Matt Busby overcoming his injuries to build another great team which won the European Cup 10 years later.
Roger Byrne (28), Eddie Colman (21), Mark Jones (24), David Pegg (22), Tommy Taylor (26), Geoff Bent (25), Liam Whelan (22) and Duncan Edwards (21) all died, along with club secretary Walter Crickmer, trainer Tom Curry and coach Bert Whalley.
Eight journalists died - Alf Clarke, Tom Jackson, Don Davies, George Fellows, Archie Ledbrook, Eric Thompson, Henry Rose, and Frank Swift who was a former Manchester City player. Plane captain Ken Rayment perished, as did Sir Matt's friend Willie Satinoff. Travel agent Bela Miklos and crew member Tom Cable also died.
We will never forget.
 
Back
Top Bottom