RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,800
- 129,638
Anyway ngoja tutazame...
makocha wengi wazuri dk 60 wakiwa wamefungwa wanafanya substitution
Anyway ngoja tutazame...
hajui anachofanya huyo LVG
jitahidi jamani la sivyo daaah
Kwa kiwango chake cha sasa RVP anacheza sababu LVG wanatoka nchi moja!Weka bench RVP mpeleke mbele ROO acheze na mnyama Falcao
Manchester Utd should not expect any success under LVG
Fellaini anaingia sasa...
Mnafungwa goli mbele ya mctu wa mabeki !!! Manure
kama KANE alivyokuwa anatupia kwenye msitu wa mabeki wenu...5-3
Sasa Song anabisha nini...
Haki ya mama, LvG anampendelea RvP!!!