Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

more pics....

original

original

original

original
 
Hongereni humu kwa ushindi mie nilidhani margin of victory ingekuwa kubwa zaidi ya 2-0, ila uchezaji wenu hmmmmm! si kama ule niliyouzoea enzi za SAF.

CC: everlenk.

Ni kweli mkuu lakini tunahitaji muda maana imekuwa hata tatizo kwa kocha kuelewa mfumo upi utumike ili ulete magoli zaidi na game kuwa tamu,sina mengi ya kusema maana game la leo sijaliona,Asante BAK point tatu si haba.
 
Last edited by a moderator:
Afadhali kimeeleweka leo.... nilipatwa na wasiwasi sana.. van gaal sijui anawaza nini.. fomesheni ya ushindi anaijua lakini anafanya kusudi kuweka 3-5-2 wakati carrick kachoka na mata hakabi
 
...labda everlenk lakini kwa maoni yangu huyu jamaa si kocha mzuri ndiyo sababu kubwa, sidhani kama anaweza kuirudisha MANU katika kiwango cha uchezaji kama cha wakati wa SAF ambapo soka lililokuwa linachezwa na MANU lilikuwa linavutia sana machoni hasa pale wanapotafuta goli kwa kila namna.

Ni kweli mkuu lakini tunahitaji muda maana imekuwa hata tatizo kwa kocha kuelewa mfumo upi utumike ili ulete magoli zaidi na game kuwa tamu,sina mengi ya kusema maana game la leo sijaliona,Asante BAK point tatu si haba.
 
Last edited by a moderator:
...labda everlenk lakini kwa maoni yangu huyu jamaa si kocha mzuri ndiyo sababu kubwa, sidhani kama anaweza kuirudisha MANU katika kiwango cha uchezaji kama cha wakati wa SAF ambapo soka lililokuwa linachezwa na MANU lilikuwa linavutia sana machoni hasa pale wanapotafuta goli kwa kila namna.

Kujenga ni kazi embu tumpe nafasi kidogo tusimMoyes kwanza......lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hureeeee! twasonga mbele. New Castle kamata hao saints.

hihhhhhh....Ulishindwa kumkamata mwenyew PANYA ROAD unatak jirani amkamatee ....hehehe
na kwa taarifa yako panya road kaongezeka mwingine na ndo kawauwa hao jiran zako simukumbiki jina vile ila kama anaitwa Eljero Elia ka roadika mara mbili jiran yangu ww inatakiw ukomae mwenyew umtoe panya road njia ili top 3/4 ukae wewe manureee .
 
_80305157_thesevenmanutdplayersoutofcontractinthesummerof2015.jpg

Naona roho zenu zitatulia kidogo
Chacha black hole mtaweza kuizuia au na nyie mnataka kuwa kama Celtic
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado
Judas anachubiri bonus yake
 
3-5-2 57mins QPR 0-0 MAN UTD
4-4-2 33mins QPR 0-2 MAN UTD. WHICH FORMATION IS GOOD?
 
Hongera mtani everlenk nao Leo ushindi kuanzi hapa nyumbani hadi EPL

Lile goli la Wilson ni bonge la goli asee

Acha tu lilikuwa ni bonge la goli,siku hiyo sikucheki game live nilikuja angalia marudio ilikuwa bao safi ila kipindi cha kwanza ilikuwa mbayaaa,juzi ile ilikuwa raha tu Simba wakanipa raha Man U wakanipa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom