demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Koeman ni tactician mmoja mzuri sana..he deserves credits. Alisema yawezekana mwisho wa msimu S'ton ikawa juu ya gooners..!!
Ni juu ya Manyuinaited and not only arsenal.
Koeman ni tactician mmoja mzuri sana..he deserves credits. Alisema yawezekana mwisho wa msimu S'ton ikawa juu ya gooners..!!
Spirit kama ile tuliyotaka kumliza Maureen kwa goli la dakika za mwisho pale OT?
Leo tactics za kocha zilikuwa ovyo...subs nazo ovyo...hizi ndizo sababu za kufungwa...
Spirit haiwezi kuwepo kama tactics zinakuwa mbovu...tactics ndizo upelekea spirit kuongezeka, kupungua ama kutokuwepo kabisa..
Valdes angedaka ule mpira alio ukosa Le'Gea.
Kwanini van_gal ajamuingiza roho yangu inaniuma sana.
Hata msosi sina hamu ya kula.
1-1 na Aston Villa hamkucheza vyema
1-1 na Stoke hamkucheza vyema
1-0 na Soton hamjacheza vyema
Man U inabidi inunue beki mkubwa wa kati acheze na Jones!Hawa akina Blackett ni mediocre players hawana hadhi ya kuvaa jezi ya Man U!Yale yale kwetu ya Lovren.Sometimes makocha hawa wanalazimisha tu mambo
Poleni ndiyo EPL ilivyo
LVG ndio wa kulaumiwa leo team selection na poor sub zimemponza.Herera na Falcao walipaswa kuanza
Idadi kubwa ya majeruhi mliyonayo(Ashley Young koh koh koh) imewasababishia mfungwe leo Old Trafford.
Cc Nzi, Belo, Mfarisayo.
Hahahaha dah¡
Hatupotezi mkuu tunarecord nzuri sana match za hme ila furaha yangu ni kuona kocha hawapangi falcao na rvp pamoja
1-1 na Aston Villa hamkucheza vyema
1-1 na Stoke hamkucheza vyema
1-0 na Soton hamjacheza vyema
Man U inabidi inunue beki mkubwa wa kati acheze na Jones!Hawa akina Blackett ni mediocre players hawana hadhi ya kuvaa jezi ya Man U!Yale yale kwetu ya Lovren.Sometimes makocha hawa wanalazimisha tu mambo
Poleni ndiyo EPL ilivyo
Nzi kwa hiyo kusema tactics za LVG zilikuwa mbaya sio kisingizio kwa maono yako? Btw tukipigwa ubaya(kihalali) na City next weekend hutanisikia nalaumu mtu.
Soton wamecheza kwa nidhamu ya hali ya juu. Main target ilikuwa sare. Walipopata nafasi wakawatandika. Mara nyingi walikuwa wakipata mpira hawaendi mbele, wanapiga pass chache then wanarudisha kwa goli keeper.
Siyo kisingizio kwani katika soka tactics ndizo uamua matokeo na siyo timu kuwa na majeruhi...unaweza kuwa na majeruhi elfu moja, lakini kama tactics zipo poa, unapata matokeo mazuri...si unaona jinsi United ilivyokuwa ikishinda licha ya kuwa na majeruhi kibao, leo jeruhi ni moja tu, imefungwa...
COPY &PASTE
Moyes. 21 games = 37
points , money spent = £29m Fellaine + £37m
Mata.
LVG. 21 games = 37 points money spent = £60m
Di Maria, £29m Shaw, £29m Herrera, £14m Blind,
£16m Rojo, £6m loan deal Falcao.
Truly Moyes was better at this stage than LVG,
considering the resources he had @ the time
YaP even D Di Mateo alichukua Champions League na Chelsea kitu ambacho Morinyo hajafanya pale Chelsea
Mkuu kuna watu wanafanya uchambuzi wa ajabu sana...sawa hata kama points zipo sawa, hivi hawaoni hata improvements za timu na wachezaji?
Timu angalau inacheza mpira wa kueleweka kuliko wakati wa DM...
Ndiyo maana mimi uwa nasema kuwa United ikifungwa washabiki haswa wa shitty, goons, loserfools na rentboys ufurahia kuliko wanavyofurahia timu zao kushinda...
Siku hizi mpira umevamiwa na watu wa ajabu kweli...yaani unamlinganisha LvG na DM?!?