Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Well Van Gaal is not good enough. Look at his compatriot with meagre resources is achieving miracles.
poleni mashetani
Na bila shaka hawatakula leo "mwiko" ushavunjwa!ila mwaka huu wakajipange tenasouthampton wamevunja mwiko wa miaka 27 old traford
[TABLE="class: sortable, width: 519"]
[TR="bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]16 Jan 1988[/TD]
[TD]Manchester United v Southampton[/TD]
[TD="align: center"]L[/TD]
[TD="align: center"]0-2[/TD]
[TD]League Division One[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Majeruhi wote watakuwa available kuanzia January, 2015 hivyo tutakuwa timu bora kuliko yoyote ile 🙂🙂 hivyo mliokuwa mbele kama mkizembea tutawawashia indicator na kuwa overtake katika speed ya kutisha. Subiri utuone ngwe ya pili tutakavyokuwa timu tofauti na ngwe ya kwanza.
Na bila shaka hawatakula leo "mwiko" ushavunjwa!ila mwaka huu wakajipange tena
Loh!!! Ngachoka pasi.......Okey asiyekubali kushindwa si mshindani,hongereni Southampton.
Balaa hili...anyway ngoja tuone..