Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
hata mimi nawaza hivo na jinsi madrid walivyo na ushindani na barca wamwachie kweli?
Chifu, bado hujanifundisha ile lugha yenye neno 'lecter' linalomaanisha Leicester..
hata mimi nawaza hivo na jinsi madrid walivyo na ushindani na barca wamwachie kweli?
Chifu, bado hujanifundisha ile lugha yenye neno 'lecter' linalomaanisha Leicester..
Ee Mwenyezi Mungu tunaomba mzee Wenger asije akafukuzwa Arsenal tutapata wapi sisi Point 6 za bwerere kila msimu zaidi ya kuifunga Arsenal?
Chifu ile lugha ni ngumu inahitaji mda kweli kujua si chini ya mwaka mmoja,ila ni lugha ya kirusi
Kwa hiyo Leicester kwa Kirusi ni Lecter? Ndiyo lugha iliyozoeleka hiyo?
Dah! Hakika kuna watu ulimwenguni ni wabishi balaa...
Nimetumia google translate:
Лестер au Lester ndiyo kwa Kirusi!
Ila kwa ubishi nimekuaminia..
Nimeandika inavyoandikwa na kutamkwa,siwezi kubishana na ww tena kwenye hili
Josho linawayoka