Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japo tumesare leo lakin huko london kuna kocha mkubwa tuu kalia kabisaaa na pia kuna mwingine ka mechishwa mwaka na idadi ya magoli
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Japo tumesare leo lakin huko london kuna kocha mkubwa tuu kalia kabisaaa na pia kuna mwingine ka mechishwa mwaka na idadi ya magoli
10406585_382878508547470_7216063268782424904_n.jpg
 
Angalau tumecheza mechi kumi mfululizo bila kufungwa. Tumecheza kwa miezi miwili bila kufungwa. Huu ni mwanzo mzuri kwa Van Gaal hasa kwa timu iliyotoka kwenye hali mbaya ya David Moyes.
Sio sisi tu, timu nyingi sana hupata shida kwenye uwanja wa Stoke na Spurs, lakini sisi tumefanikiwa kutoka na point tena katika kipindi kigumu cha mwezi December. Naamini timu itatufurahisha tu.
Heri ya mwaka Mpya Man United' fans.
Ova
 
Angalau tumecheza mechi kumi mfululizo bila kufungwa. Tumecheza kwa miezi miwili bila kufungwa. Huu ni mwanzo mzuri kwa Van Gaal hasa kwa timu iliyotoka kwenye hali mbaya ya David Moyes.
Sio sisi tu, timu nyingi sana hupata shida kwenye uwanja wa Stoke na Spurs, lakini sisi tumefanikiwa kutoka na point tena katika kipindi kigumu cha mwezi December. Naamini timu itatufurahisha tu.
Heri ya mwaka Mpya Man United' fans.
Ova

Matokeo si mabaya sana ila tulikuwa na fursa kubwa sana kama tungeshinda leo hii tungekuwa point 3 nyuma ya wanaongoza ligi.

Any way inatakiwa kushinda altleast mechi tatu hivi mfululizo ili kujiweka vizuri
 
Dirisha la usajili si lipo wazi? Sasa ni kuingia sokoni kutafuta CBs mmoja au wawili tu...

Ila sema ukweli LvG anampendelea RvP sana...leo hakuwa na game nzuri, Falcao alikuwa na game nzuri, halafu katolewa yeye. Sijui. Labda kama kuna sababu za kiufundi (ukizingatia Falcao bado hajawa na 100% match fitness na sharpness; na leo ilikuwa mara yake ya kwanza kucheza mechi 3 mfululizo toka Septemba 2013) za kufanya hivyo..
 
Ninachoongelea defence yenu inaonekana afadhali koz of De Gea na nimekiandika hapo mliposoma mimi kusema defence yenu ni mbovu (i wonder kwann hamuongelei hili).

Ni tofauti na say Chelsea...hata kipa awe Mignolet huenda bado tungekuwa na the same conceded goals tukiwa na defence (back four) yetu.

Sidhani kama the same can be said of Utd without De Gea msimu huu.

Hii nimeipenda, lakini sidhani kama unaweza kurudia kuandika maneno haya.
 
Mbwiga mbwiguke mkono wa nyani kibwaya mkia eeee!
Kaa Epl upate udambwidambwi, sasa leo nataka nikupe vihendo vya tim moja linaitwa Chelsea ze bluz, kos limekamilika golin kuna thibout courtios, kulia kuana ivanovic, kushoto azpiliqueta centa half kuna garry cahill na mkoba anamaliza john terry ebana huyu jamaa mzee lakn bdo anapga kaz wanasema ng'ombe hazeeki maini wala ucone simba kalowa ukazan nyani, katkat kuna matic na kiungo bora kabsa c mwngne n cesc fabregas ebana huyu mtoto wa nyumbani arsenal 2memlea kabla hajatimkia zake barcelona, winga ya kukimbiza winga ya kuingia nazo utamkuta c mwingne n edin hazard, kulia, willian, 10 kasimama oscar na 9 anamaliza mbrazil lakin muhispania diego costa wao wanamuita waziri mkuu,sasa nn kilitokea ebana hawa jamaa walikutana na tim la tottenham hotspurs chn yake mwalim mauriso pochetino, kuna watu kama hugo lloris, dan de rose, nathan chadli, townsed. Ila kuna huyu jamaa anaitwa Harry kane huyu ni hatari akishka mpira anaonesha udambwidambwi mara anautaka mara anautupa kama anapiga kumbe anafinya anatema mate kushoto anafukia kulia, sasa mbugi likapigwa pale whitehatlane dk y 18 tu diego costa ka2pia, dk y 32 c mwngne n harry kane kasawazisha dk y 44 dan de rose kaongeza dk y45 townsed kapga tuta ngoma ikawa 3-1 ikaenda half tym kurud hawa chelsea nao hazard ka2pia spurs wakasema msi2tanie harry kane ka2pia tena chadli kaweka tena kamban kufika dk y 80
ngoma 5-2 bas hawa chelsea hoi lakin yule yule mzee john terry ka2pia naye ee ng'ombe hazeeki maini had dk 90 znakwisha spurs 5-3 chelsea hakuna m2 aliamin lakn utafanyaje kibao cha magoli ndo kinasoma ivyo! Bas mechi imeisha lakina john terry na garry cahill mshikemshike waliokuanao kutoka kwa king HARRY KANE lazima walale na viatu. Ee mambo haya hupati kwingine ni EPL pekee!
 
KUFUNDISHA WAZUNGU KUJUA KISWAHILI KUNA
CHANGAMOTO ZAKE JAMANI!
... Jana Tu Nilijaribu Kuwafundisha(

Watu Hawa---
1)SEMA: Nyama Na
Koni...
WENGER:
Wanyama
Wa Kenya.... Mmmh!..... SEMA: Napenda Pesa .....
WENGER: Napenda 'MANE'...


. Hahahaaa!! Dah Ngoja
Niachane Nae Inaonekana Bado Anastress, Nimfuate Mou
Yule Mwanafunzi Mzuri.... SEMA: Kanembo Fc Inatisha
Sana... MOU: KANE Anatisha Sana... Hahaaaah...... SEMA:
Achana Na Dili Za Vifaa...... MOU: Achana Na 'CHADILI' Wa
Spurs.... Hahahaaa.... SEMA: Matango Yananitosha
Kabisaa... MOU: Matano Yananitosha Kabisaa..... Hahahaaa
Duh Ni Kazi Kweli Kweli Kufundisha Watu Wenye Stress
Na Kazi Yenyewe Basi!!

: Artist 😀az Nundaz
song : Nipe Chelsea
'Chorus'
NINAPOSHIKA KIPAZA .CHA KANE ,,TERRY ZINALETA MGONGANOO
NNAPODRIBLE KAMA HAZARD NJOONI MNIPE CHELSEA
NIPE CHELSEA NAMI NIKURUSHE MPAKA
KUCHWEEE....EEE....EEEEH.........
 
Heri ya mwaka mpya fans wote wa Man U, hope sasa tutafanya vyema zaidi ingawaje jana haikuwa njema lakini atleast tumeendeleza rekodi ya kutofungwa,sasa kugawana point yatosha tunahitaji point 3 kwa kila mechi tutakayocheza.
 
Nimesoma tetesi BBC,mnataka kumrudisha Christian Ronaldo,hongereni
 
Nimesoma tetesi BBC,mnataka kumrudisha Christian Ronaldo,hongereni

Mkuu these rumors won't go away though can't give a quid about it

Madrid hawawezi tuuzia

Mnazungumzia hii habari au??

Phelan: Ronaldo 'would listen' if Man Utd were interested
Sir Alex Ferguson's former assistant doubts that the Portuguese would be ready to leave Real Madrid but says that his connection to Old Trafford could see him consider it.
By George Ankers
Jan 3, 2015 9:10:00 AM
Cristiano Ronaldo Cruz Azul Real Madrid FIFA World Club Cup 12162014 Former Manchester United assistant manager Mike Phelan says that Real Madrid star Cristiano Ronaldo "would listen" if the club tried to buy him back.

The Portuguese formed a strong connection with the Red Devils and their fans during his prolific spell at Old Trafford before joining Los Blancos for 80 million pounds.

Consequently, Phelan believes that Ronaldo would be open to a return to United, though he doubts that the 29-year-old would yet be ready to leave the Santiago Bernabeu.

"Ronaldo loved his time at Manchester United and, if Manchester United were interested in him again, then he would listen to that because part of his career has come through Man United," he told IBTimes UK. "But listen, he is where he is because of him being Ronaldo and, at the moment, Madrid are successful so I can't see why he would think about coming back to Manchester United now."

Louis van Gaal’s side sits third in the Premier League as the January transfer window opens and Phelan, who left the club along with Sir Alex Ferguson in 2013, does not expect a great deal of reinforcement until the summer.

"I'm not there anymore but what I've seen is that a full Manchester United squad going into January will be formidable," he said. "They have quality. There haven't been many times when they've purchased in January apart from rare examples — [Nemanja] Vidic, [Patrice] Evra, etc.

"It's been the case of seeing what is out there, what you can bring in and the amount you are willing to spend. It is an inflated market."
 
Hongereni wakuu nachikia wababe wenu MK Dons wametolewa kwenye kombe la FA cup .... ... ... Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni wakuu nachikia wababe wenu MK Dons wametolewa kwenye kombe la FA cup .... ... ... Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ee Mwenyezi Mungu tunaomba mzee Wenger asije akafukuzwa Arsenal tutapata wapi sisi Point 6 za bwerere kila msimu zaidi ya kuifunga Arsenal?
 
Back
Top Bottom