Manchester United (Red Devils) | Special Thread

yaani kila game lazima waende wodini wachezaji tena muhimu!!

kwanini haumiagi evans?

Dah nimesoma comment yako badala ya kuniuma nimecheka sana
Seriously kwann huyu jamaa Wa mablunder haumii aisee
Akae hata nje mwaka aiseee seriously anaboa sana Huu ndo muda tuliotakiwa kumtegemalea lakini he never learn kabisa kila siku he become more dissapointing
 
yaani jamaa hajakaa kiuchezaji kabisa!! akishika mpira tu kamoyo kanadunda!!
 
Dah full/wing back zilizocheza previous games wote wako wodini...Young, Valencia, Shaw na Rafael

Hii inatuacha vulnerable zaidi though naona LVG next game hana ujanja zaidi ya kurudi kwenye 4-4-2 akiwa na Blacket kushoto na Jones upande wa kulia. Kati bila shaka Smalling/Jones na McNair...

I cant see 3-5-2 with Valencia and Young injured
 
Ndio hivyo na ndio maana kipindi cha pili alibadiri formation na kurudi 4 - 4 - 2 au haukuona?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ok. Nimekupata

Mimi naipenda sana 3-5-2 kwa sababu ina soka la kasi na inatoa nafasi kubwa kwa viungo kufunga mabao na hata rebound huwa hazipotei ovyo. Ndio strikers wanakuwa kwenye wakati mgumu sana.
Halafu nilichogundua kwa 3-5-2 Young anakuwa ni mchezaji bora sana kuliko hata 4-4-2, na kwa kiasi kikubwa naona kiwango chake kinaimarika sana ndani ya mfumo huu.
Naombea tu Young na Valencia warudi mapema ili tuendelee kula matunda ya 3-5-2, maana sasa hadi tumeshaanza kusahau machungu ya kufungwa kama jamaa zetu.
Ova
 
Sure Mkuu
3-5-2 imemfufua Young... he was pathetic lakini formation hii imemsaidia kupafom hasa
 
RRONDO ndugu yangu vijana toka St Mary wanakuja hapo week hii na haina haja ya ku panic kaka!

Wachukulie Sotton kama changamoto ingine kwako ingawaje yule Pelle na Mane sio watu wazuri hata kidogo
 
Last edited by a moderator:

nafikiri umesahau....game yetu ya kwanza tulicheza kwao tukawafunga 2-1....chelsea alidraw pale,arsenal alipata kipigo,nyinyi sijui ilikuwaje....sasa wanakuja OT matokeo ni formality tu,tatizo letu sisi ni away games tu kwasasa mlete yeyote pale OT akipona sana draw nafikiri hata wewe unalijua vizuri hilo......3-0!
 
Mpira hauna formula kaka!Unaweza mpiga Swansea kwake wakati alikutenda kwako
 
RRONDO ndugu yangu vijana toka St Mary wanakuja hapo week hii na haina haja ya ku panic kaka!

Wachukulie Sotton kama changamoto ingine kwako ingawaje yule Pelle na Mane sio watu wazuri hata kidogo

Ni Soton, siyo Sotton.

By the way, Soton siyo nickname ya Southampton FC, bali ni kifupi cha neno Southampton. Na kinatumiwa sana na Chuo Kikuu cha Southampton.

Nickname ya Southampton FC ni The Saints.
 
Last edited by a moderator:
Ni Soton, siyo Sotton.

By the way, Soton siyo nickname ya Southampton FC, bali ni kifupi cha neno Southampton. Na kinatumiwa sana na Chuo Kikuu cha Southampton.

Nickname ya Southampton FC ni The Saints.

Thank you for correction ingawaje haijapoteza maana nilicho taka kuwasilisha!

Sidhani kama week hii mtatoka salama ehehehehe
 
Victor Valdes___2 years contract...sijajua kama ni true rumours..

Je anastahili kupewa huo mkataba?? Nadhan tuwekeze kwenye vijana ma sio wazee. DeGea amekuwa mwiba baada ya kufundwa akiwa kijana
 
Back
Top Bottom