hizi kadi za njano mbaya sana
zonal marking inawaua sana liverpool
Ni kweli goli la Mata ilikuwa off side?
Half time 2goals mbele but nahofia hizi yellow zimekuwa nyingi unnecessary zitatucost
Nimekwambia leo tuna rafu sana. Inabidi LVG awaambie watulie. Its really bad. Nshaanza kuogopa
Aisee hata mimi wananipa tumbo joto sana,natamani hata niingie kwenye Tv niwaambie....
Inashangaza kuona timu hii iliyokuwa tishio kubwa msimu uliopita sasa imebaki midabwada tu. Wasipoangalia leo wanaweza kuchapwa hata tano.
Ni kweli goli la Mata ilikuwa off side?
Hapo dawa ni kumtoa Fellaini na aingie Herrea ili tuweze kumiliki pale kati...kwani Fellaini sasa anaogopa kupata kadi ya pili..
Ni offside vile, ila naifikiri linesman alifikiri rvp hajagusa Mpira. That's only logical explanation
Ni kweli goli la Mata ilikuwa off side?